Kunyanduana maana yake nini hasa?

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
124
246
Wakuu mambo zenu , hili neno la kunyanduana naona linatumika sana ktk social network ,sasa binafsi sijui lina maana gani ,nakuja kwenu naomba muongozo wakuu..
 
Sio neno rasmi ,tunaweza kuliita msimu ambao hutumiwa hasa na vijana wakimaanisha kufanya mapenzi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom