Kugeuka
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 331
- 221
Mh. Polepole anachanja mbuga huko karatu na kupiga kampeni ili wananchi wamchague mbunge wa ccm uchaguzi ujao. Amewaambia wamfuate mzee wao Slaa,ilihali tunajua kua Dr. Slaa hajajiunga na chama chochote mpaka dk hii. Ila kwa kauli za Polepole ni dhahiri na ni ofisho,dr slaa amejiunga na Ccm japo hajajitangaza. Alichokifanya Polepole,angekifanya mpinzani naamni ingekua nongwa!!!! Chanzo Gazeti la Mwananchi online Polepole amtumia Dk Slaa kuing’oa Chadema Karatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app