Kununua vitu mtandaoni is safe?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,888
49,083
Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua wananikombea pesa zaidi na ata pa kushitaki nikakosa kwa hapa home Tz.
Pia vipi taratibu, na gharama za kupata mzigo wangu (Vitu vidogo dogo kama smartphone, computer au tabs) hakuwezi kua na uchakachuzi kwa mawakala wao hapa Tz, nikajikuta nalipa bei kubwa zaidi kukikomboa ni heri ata ningenunua hapahapa Bongo?
Thanks
 
me nimewahi kununua bidhaa kama laptops,flash disks,memory cards etc huko ebay,amazon na kwingineko na nilipata bila matatizo yoyote.but usinunue direct kutoka kwa sela pitia mtu wa kati atakayekuhakikishia usalama wa pesa zako.me nina account paypal i.e www.paypal.com ambao wananilink na maduka mbalimbali duniani.wako veri strikti kwani lengo lao ni kuhakiki kuwa ww ndiwe mwenye details ulizotoa ili mzigo ufike kunakotakiwa.wanakupa siku saba baada ya kupokea mzigo ucheki kama uko powa kama haujaukubali wanasimamia procedures za kurudishiana but unagharamia gharama za kurudisha.
 
Kidoogo nimekupata kaka chicco, kwahiyo unanishauri nianze vipi au nifate procedures zipi? maana hapo uliposema mtu wa kati sijakusoma mkuu.
 
Last edited by a moderator:
ingia www.paypal.com utafuata procedures za kujiandikisha na kuwa na account.mahitaji muhimu:visa card-me ninayo account crdb bank na iwe yako coz watahakiki na jamaa wa visa card kuthibitisha kama ni yako,sanduku la barua/address lenye jina exactly na lile lililoko kwenye hiyo visa card, etc ni kwamba wana masharti magumu lakini hiyo inatokana na mambo ya pesa coz at the end of the day kama ukipoteza pesa wanawajibika kukurudishia.so ni lazima wahakiki kuwa wote ni real muuzaji na mnunuzi.
 
Okay nimekupata bro chicco. Kwahiyo nikitaka kununua kitu, natumia eBay, ila kulipa ndio natumia paypal au sio?
 
Last edited by a moderator:
pia wasiwasi wangu mwingine ni kubadilishiwa bidhaa. Kwamfano: nimenunua original iPhone wao wakanitumia ya "kichina". Au inaweza kuja original hadi hapa tz ndio ikachakachuliwa.
Safety ya bidhaa niliyo nunua ikoje?
 
ndio unanunua ebay lakini unalipa kupitia paypal.usalama ni mkubwa coz unanunua bidhaa ambayo unaiona online.ukishachagua na kulipia na malipo yakakamilika automatikali unapata code ambayo unaweza kuitumia kutraki hiyo bidhaa hadi inafika tz.taratibu za kastomz za tz ndo huwa wanachukua muda but inaweza kuchukua hadi siku 5 kuipata.posta wanaifungua mbele yako kuithibitisha na kama nilivyokwambia una hadi siku saba kuwajibu kuwa ulichopata ndicho ulichonunua.jibu ni muhimu coz usipojibu paypal wanablock account yako.
 
i got yu. nadhani ili swali la mwisho: kwa mfano nikinunua leo, inachukua muda wa siku ngapi kuipata bidhaa yangu? na mbona eBay bidhaa nyingi naona "this item doesn't shipped to Tz"?
 
i got yu. nadhani ili swali la mwisho: kwa mfano nikinunua leo, inachukua muda wa siku ngapi kuipata bidhaa yangu? na mbona eBay bidhaa nyingi naona "this item doesn't shipped to Tz"?

ikizidi siku 7 si unajua tena wabongo hawakupigii simu wanakutumia note kwenye sanduku lako so ni ww kupita kucheki.but within 2 days mzigo unakuwa umefika tz.uksachi vizuri ebay zipo wanasafirisha worldwide.we unatafuta nini?unaweza kutaja hapa na spesifikesheni zake?
 
Mimi ningependa kununua simu nje ila wasiwasi wangu ni customs hapa tz,charges zao zinakuwaje i already have paypal n crdb acc
 
Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua wananikombea pesa zaidi na ata pa kushitaki nikakosa kwa hapa home Tz.
Pia vipi taratibu, na gharama za kupata mzigo wangu (Vitu vidogo dogo kama smartphone, computer au tabs) hakuwezi kua na uchakachuzi kwa mawakala wao hapa Tz, nikajikuta nalipa bei kubwa zaidi kukikomboa ni heri ata ningenunua hapahapa Bongo?
Thanks

Utaibiwa pesa zako bure!! Unaweza ukaletewa vitu tofauti na ulovyoagiza, Jamaa aliagiza viatu vya $2000 akaletewa zote za mguu mmoja. Uzuri ni kuwa na agent sehem husika eg, China, Singapore, Dubai etc,, wasiliana na mm baada ya mwaka mpya!!
 
so far nimeshanunua vitu kibao kwa MasterCard hana sha vinakuja kwa wakati na ni bidhaa yenyewe! MasterCard ni rahisi kidogo kuliko PayPal you just need a MasterCard activated card ya CRDB ama ya bank yeyote na unaanza ku nunua
 
Aaaahh kaka GOOGLE ni noma kumbe. But me nataka ninunue single item tu. Kama vile smartphone, maana mbele naziona nyingi. Ila wasiwasi wanaweza niwekea mali fake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu eliphaz sijakuelewa kidogo hapo... swala kuu ni kwamba, anaeuza akiamua kuniuzia bidhaa fake mm nitajuaje? Hadi ikifika huku ndo nika realize kwamba mzigo ni fake si tayar balaa ilo?
 
Last edited by a moderator:
Utaibiwa pesa zako bure!! Unaweza ukaletewa vitu tofauti na ulovyoagiza, Jamaa aliagiza viatu vya $2000 akaletewa zote za mguu mmoja. Uzuri ni kuwa na agent sehem husika eg, China, Singapore, Dubai etc,, wasiliana na mm baada ya mwaka mpya!!

hizi ni promo@kutafutamkate.co.jf mkuu soma vizuri maelezo ya terms and conditions za paypal utajua jamaa wapo serious na kazi yao..
 
so far nimeshanunua vitu kibao kwa MasterCard hana sha vinakuja kwa wakati na ni bidhaa yenyewe! MasterCard ni rahisi kidogo kuliko PayPal you just need a MasterCard activated card ya CRDB ama ya bank yeyote na unaanza ku nunua

hata hao paypal wanatumia mastercard ila wanakuwa ni mamiddleman bana..
 
Paypal wako poa! Mi hununua vitu vingi kupitia wao, ni safe sana.....kuna option ya kurudishiwa fedha zako pindi hujaridhishwa na bidhaa uliyonunua.
 
Mimi ningependa kununua simu nje ila wasiwasi wangu ni customs hapa tz,charges zao zinakuwaje i already have paypal n crdb acc

to be honest sijui charges zao kwa sasa.ingawa sio kubwa sana kiasi cha kuogopesha.
 
sasa kwa mfano broo, mm ninayo visa card na master card, ninapo activate hyo visa card ni vigezo vip wanatumia kuchuku hela ktk a/c yangu kwa kiasi amabacho tumekubalana ktk bidhaa wakati mimi ndo mwenye a/c na namba za siri ninazo mm? hawawezi kuzidisha kiwango cha pesa na nitajuaje kama wameshachukua try ktk a/c?
 
Back
Top Bottom