Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 18,905
- 49,143
Habari wakubwa.
Hivi kununua vitu online kama eBay au Amazon market ambamo kuna sehemu najaza info zangu za bank, ni safe kweli ktk pesa zangu za bank? Sometimes nahisi kama wajomba wanaweza kua wananikombea pesa zaidi na ata pa kushitaki nikakosa kwa hapa home Tz.
Pia vipi taratibu, na gharama za kupata mzigo wangu (Vitu vidogo dogo kama smartphone, computer au tabs) hakuwezi kua na uchakachuzi kwa mawakala wao hapa Tz, nikajikuta nalipa bei kubwa zaidi kukikomboa ni heri ata ningenunua hapahapa Bongo?
Thanks