kununua usafiri kwa sh 6ml

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
naomba mnisaidie nigari ya aina gani naweza kupata kwa bei ya sh 6ml, nipo morogoro. nawatakia jioni njema
 
mil.6 kwa kuagiza japan utapata premio old model. Hapa bongo showroom unavuta swift. Karibu
 
nna toyota crester...nyeupe ipo kwenye hali nzuri nauza 6million mkuu...nipo arusha
 
ah hiyo hela mbona unapata GX 100 mbili kabisa. wewe tu na hela yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom