Majita
JF-Expert Member
- Jan 13, 2008
- 609
- 190
Katibu Tarafa,
Una uhakika na jibu lako kwa Majita?
Ninavyojua mimi, huyo mtu anahitaji power of attorney ili aweze kushughulikia mambo yako.
Kuna mambo mengi sana kwenye masuala ya viwanja huwezi kufanya unless ni kiwanja chako au una power of attorney.
Majita, kama una ndugu unayemwamini basi mpatie hiyo power of attorney na ataweza kufanya kila kitu chako kama vile ambavyo ungeweza kufanya wewe.
Ila ukirudi TZ, huwezi kuwa na madaraka ya moja kwa moja na hizo hati zako, itabidi ubadilishe hiyo power of attorney ambayo ulimpa jamaa. Vinginevyo kwa kila kitu kwenye hati yako itabidi jamaa ndiye awe anaeka sahihi.
Duu hapo sasa ni pagumu kidoogo.Si unajua tena ndg yangu.Sisi sote ni waTZ tunajua shida inayoweza kutokea badae.
Labda swali lingine ni kuwa Je! naweza kutumia picha na sahihi za mtoto wangu wa kike wa miaka 11 sasa ambaye yuko Tanzania badala ya mimi na huyo ndg yangu akawa mwelekezaji tuu? Je, sheria inaweza kumruhusu mtoto wa umri huo kumiliki ardhi au basi tuseme hata kiwanja tuu cha medium density? Nisaidieni jamani.
Nazidi kukumbushia mwenye namba ya afisa wa ardhi Mwanza ndugu zangu.
Regards.