kununua kiwanja kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kununua kiwanja kigamboni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sister sista, Nov 9, 2010.

 1. sister sista

  sister sista Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada ndugu wananchi,nina shida nataka kununua kiwanja na dalali kanionyesha huko kigamboni lakini sasa nimetokea kupewa ushauri na wengi eti kwamba uuzaji wa viwanja kigamboni ulisitishwa naomba kwa yeyote anayejua tafadhali mnipe muongozo maana nimejjaribu hata kuwauliza watuu wanaofanya huko wizarani nao wamenipa majibu tofauti sasa inatia shaka je kwa uelewa haswa kwa wale ambao wamshanunu hivi karibuni je naweza kununua kiwanja kutoka kwa mtu binafsi au kuna viwanja vilivyogawiwa na serikali kama maenneo mengine.pili je ni kweli huko mbele kigamboni itachukuliwa kw a ajili ya project za serikali?na kama ni hivyo vipi kwa walengwa amabao ni wamiliki?wataendelea kuwepo au watapewa fidia?na hiyo project inaanza lini?naombeni majibu na mengine nisiyoyajua ili nijua nafanya nini maana nisije ingia mkenge kwa vijisent nilivyosave na kujinyima maishani halafu nije kulia na ukizingatia hatuna utarartibu wa kumbukumbu.pls nishaurini
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  kuna thread hapa inaendelea kuhusu kigamboni master plan....ukiisoma hutanunua kiwanja huko kigamboni...im not sure lakini hilo litajuwa ni chaka
   
 3. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI KWELI KWAMBA KUNA MASTER PLAN. ILA HIYO MASTER PLAN HAIHUSIKI NA MAENEO YA KIBADA [20,000 Plots Project], Mikwambe, Toangoma; Kibugumo na Gezaulole.

  Kama Hicho Kiwanja kiko katika maeneo hayo, NUNUA. Kama kipo Mji Mwema, Mikadi, Tungi, Vijibweni. Cha Moto, Kiwache/.

   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  The Following User Says Thank You to Makame For This Useful Post:

  Ndibalema (Today) ​
   
 5. sister sista

  sister sista Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks alot i hope hii itanisaidia,ningeingia mkenge wa nguvu maana nilionyeshwa mji mwema.ubarikiwe
   
Loading...