Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

Nasema hivyo kulingana na uliyoyaeleza. Umetanguliza utu sana kwenye pesa
ndo maana nikauliza kwanza wadau kabla ya kufanya ivyo, nafahamu hapa JF watu wana experience na vitu vingi, ushauri wenu nimeuchukua
 
Pole sana kwa kukosa muda mzee baba,we kama vipi tuma hio pesa nusu na ya kutolea halafu itakua fresh tu na baada ya hapo utakua sasa una muda wa kutosha wa kukaa na kusikitia hela yako itakayokua muda huo inanunuliwa malaya pale Villa.
, umetisha mkuu
 
Wewe ni wakuwekelea makofi, utatumaje hela na gari hujaikagua?
ha ha,kuwekelea makofi tena? kwa kifupi ilikuwa ni gari ikifika ndo iende garage kukaguliwa kabla ya kumalizia nusu ya hela itayobaki, ila fresh nimewaelewa sana wana, mpango wangu ulkua niache kutumia bebiwoka nipush ndinga kali ya kueleweka
 
Kesho nitakua mwanza. Kama utaniamini, nielekeze keshokutwa nikaliangalie hilo gari.

Sioni haja ya wewe kuingia gharama ya kusafiri na fundi. Nenda mpaka mwanza , mafundi utapata huko huko. Ila hakikisha unamtoa sehemu tofauti na ilipo hiyo gari.
Hakuna mnunuzi wa gari hapa,nimemwambia mimi nipo Mwanza hapa anielekeze walipo nikamkagulie bure hajaonekana tena
 
Jf raha sana.

Mdau amepata watu wamejitolea kwenda kumuangalizia gari.

Bado atasuasua nako.
 
Nipo Mwanza....nielekeze nikakuangalizie,muulize kama ni uwanja wa furahisha au mitaa ya u-turn nimfate chapu,maana ndio maeneo yao

We jamaa Unataka kuharibu mipango ya watu, watu wanatafuta school fees January inakaribia.
 
Back
Top Bottom