Kununua bidhaa aliexpress na alibaba Special thread

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
2,091
Points
2,000

toplemon

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
2,091 2,000
Kwa wanunuzi wa bidhaa mtandaoni hapa nazungumzia aliexpress na alibaba huu ni uzi maalum wa kujifunza kuagiza bidhaa kupitia mtandao huu hususan aliexpress
Mjuavyo aliexpress ni mtoto wa alibaba
Alibaba imebase kwenye kuuza bidhaa za jumla huku aliexpress wakibase kuuza bidhaa za rejareja na mojamoja kwa mteja
Ndo mtandao unaokua kwa kasi na umekua na wanunuzi wengi kupita hata amazon na ebay
Kupitia uzi huu nimeanzisha hili tuweze kupeana elimu na maarifa kuhusu manunuzi kupitia hizi site kama walivyofanya wenzetu walivyoanzisha uzi wao tukajifunza kuhusu ebay
Natumai wataalam na wenye uzoefu mpo humu na mtajibu maswali ya wengi wetu tunaopenda kufahamu zaidi na kujifunza kuhusu aliexpres
Na maswali mengi yatabase kwenye kila kitu
mfano mpaka bidhaa imfikie muhusika, gharama, system ya malipo, muda, na uimara wa bidhaa n,k
Karibuni sana wadau
 

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
1,634
Points
2,000

fazam

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
1,634 2,000
wakuu mkumbuke bidhaa kutoka aliexpress sasa hv zinatozwa kodi na tra..mzigo ukifika lazma uende tra ukalipe kodi
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
3,632
Points
2,000

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
3,632 2,000
mi nimenunua vifaa vya photo studio ali express nililipa kwa paypal.. na mzigo ulitumwa dar kwa dhl.. ndio umefika nahangaikia kodi
 

Forum statistics

Threads 1,365,646
Members 521,269
Posts 33,351,442
Top