Kunuka mdomo kunaweza kuhatarisha mahusiano ya kimapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunuka mdomo kunaweza kuhatarisha mahusiano ya kimapenzi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ritz, Jan 10, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.
  Naomba kuuliza ili suala eti kunuka mdomo kwa mpenzi wako Mume/Mke au Mchumba, kunaweza kuhatarisha mahusiano yakavunjika kwa kero ya kunuka mdomo.

  Wadau wa Chit-Chat
   
 2. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kunapunguza manjonjo katika show, itakulazimu uende "down" moja kwa moja. Ila kuvunja mahusiano sijui, labda yawe ya juu juu tu.
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ndio- inaweza kuwa sababu kwa mtu asiye na mapenzi ya kweli na asiye na uvumilivu na mpenzi wake akatumia tu kama kisingizio kumbe deep down hana upendo na hamhitaji tena mwanamke/mwanaume.

  Hapana- Ni tatizo linalotibika,ni kiasi cha kumueleza mwenye tatizo na kumsaidia...siku hizi mouth wash kibao na dawa za kuondoa harufu na ushauri kibao kutoka kwa wataalamu. Linatibika with time na pale inapogundulika sababu ya kunuka mdomo ni nini.

  Mtu yeyote aweza nuka mdomo, so si factor inayotarajiwa ilete break up unless mtu ana yake mengine.
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuna hatarisha asee manake kuna vitu itabidi muache kushiriki mf. denda. hakuna anayependa harufu mbaya... Unaeza kuvumilia kwa mda ila naamini mwisho wa siku lazima ubwage manyanga!
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Juhudi binafsi za yule anaenuka katika kuiangamiza harufu hiyo ndio zita-determine kuvunjika au kuendelea kwa mahusiano. Kama partner wake ana mapenzi ya kweli atamsaidia bega kwa bega kuitokomeza.

  Hii harufu inakera sana..mhanga wa ugonjwa huu asipoonyesha ushirikiano ataachwa tu kwakweli..
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi nilidhani unaweza kuvumilia kwa muda , MWISHO UNAZOWEA:poa!
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Ritz anacheza na kitu cha mdomo eeh?
  Kwa kweli harufu hizi za mwili kama kwapa, Kinywa nk ni mtihani sana. Kuna mjadla ulikuwepo hapa na watu wakachangia sana juu ya yasababishayo na jinsi ya kutatua.....
  Nadhani cha msingi kama mwenza wako ana hiyo shida ni vizuri kumsaidia muone mnatatuaje na si kumkimbia!

  Hivi wanaonuka kinywa wanajijua kuwa wananuka?
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Ahaa aaaa Mkuu ritz vipi umemwagwa ?.
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lol PJ kuna vitu vya kuzoea ila sio harufu ya kinywa....ndio mana ni vema kwa wenye haya matatizo wakawaona wataalamu haraka!
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Watu huwa wanasema hawajijui mie sina hakika bht.....kwapa, mdomo, miguu kweli vinakera sana bana... Mtu ukijijua ni vema ukawahi matibabu manake yapo!
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Ha! Ha! Ha! Ha!
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  mi hunikera kwa kweli.....yani najisikiaga kutapika....na hamu inakwisha hapohapo....
   
 13. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haa! Mimi siachi, namaliza kwanza game halafu baadae ndio nampa somo.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngongo.
  Unanichekesha sana! Kuna siku nimepanda daladala kutoka Kawe kwenda Kariakoo..Mkuu huwezi amini nilishuka Morocco bila kupenda aisee!

  Nilipanda na mzee mmoja balaa ananiongelesha kama ananinongoneza hivi habari za Simba na Yangu. Huku anacheka...harufu sio mchezo.

  Ilibidi nimwambie konda ukifika morocco niache.

  Yule mzee alivyokuwa kichwa akaniambia huku akinisogelea nilidhani unakwenda kariakoo!

  Nikamjibu hapana nashuka morocco!
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kaone wataharamu wa tiba za vinywa na mahusiano yako hayatakuwa hatarini tena.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pole sana ritz hilo tatizo lako linatibika ndo maana huwa unachafua hali ya hewa humu JF.
   
 17. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kha! Hapa napita tu.
   
 18. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  nna mshkaji wangu yeye anavutiwa sana na kiharufu!!!sasa sijajua kiharufu cha wapi.....yaani kile kiharufu kinampa mzuka!!!ila sidhani kama ni harufu ya mdomo!!!!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ushaacha wangapi wenye tatizo hilo?
   
 20. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  sisi wazee wa mugongo mugongo harufu sio ishu!!!......
   
Loading...