Kunuka kwapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunuka kwapa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vicent tibaijuka, Mar 25, 2012.

 1. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JAMANI WANA JF, NAOMBA MNIELEZENI INAKUWAJE MTU ANANUKA KWAPA BILA YEYE MWENYEWE KUJISHITUKIA? KUNA JAMAA ALIKUWA NA DEMU WAKE IKABIDI WAACHANE KWA AJIRI YA KWAPA! HALI HIYO IKO HATA MPAKA KWA BAADHI WASANII WETU, HUWA WAKIPERFORM WANATEMA KIASI KWAMBA HUTAMANI HATA KUWA PALE MBELE. MFANO TWANGA PEPETA. wAKIMALIZA PEPETA ULE UVUNDO HUWA MANDHARI HAIKALIKI? JE, WANAMATATIZO NA PUA ZAO?
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Huyo dada hakumpenda tu jamaa yake, kwa nini asimuelimishe matumizi ya Body spray na Deodorant?
  Hakuna mtu hanuki kwapa after a certain time. Ni ile tu mtu kujua jinsi ya kuepusha hilo.
  Na mtu anae nuka kwapa hawezi jitambua sabb kiarufu kinakua taratiibu na harufu yoyote ilo kuzunguka kwa mda mrefu unaizoea na kuto isikia.
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,759
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  dawa nzuri ya kunuka kikwapa ni ndimu.ukijisugua kila siku kabla ya pirika zako,inasaidia na ndimu haina gharama ya hivyo.kunuka kwapa huwa inakera jamani,ila maybe kwa wengine wanaona sawa tu.utakuta mdada amevaa amependeza,ila akikupitia tu,ni harufu ya jasho,nahisi kama haipendezi.
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi wanawake wanao nuka kwapa ndo nawapenda, hebu nitafutieni huyo demu haraka sana.

  Hao wanao nuka kwapa wanakuwa watamu sana, nyie hamjajua tu siri zao :cool2:
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45


  Kweli tembea uone!
   
 6. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  duh! unatapisha!!
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yeap hata mimi kichwa changu cha chini huwa hakivumilii kinatapika tu.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  aisee!!kwa hyo we ni zoa zoa 2?
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  :) :) :)

   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema mchangiaji hapa chini, huyu hakumpenda mwenzake. Haya makwapa yanatibika kirahisi tu hasa kuko kwenu Bukoba yanatibika sana.
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli tu hunuka kikekike vile badala ya mikorogo ya marashi!
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  joke......
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Joke vipi, kwampa la mwanamke likiwa linatoa harufu huwa ndo linasababisha mkuyati upepee zaidi, mana nikama vile mti umeutia mbolea unavyo zidi kustawi.

  Kaulize ma doctor wanao jua faida ya kijasho cha kwapa kwenye sex :violin:
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  I still count it as a joke, ama sivyo unambie waumwa mafua daily!!
   
 15. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mm sidhani kama mtu huwa hajisikii anatoa harufu!labda anakua tu ameizoea hiyo harufu yake mpaka anaiona ni hali ya kawaida. Na wanaonuka midomo je????
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sio mafua wala nini, ukweli ndo huo kabla ya kuwepo hizo body spray, na deodorant waliishi vipi na wanaume zao au wachumba zao.

  Afu nyie wanawake mtawajua vipi wenzenu kama watamu? sie ndo tunawajua, kila mwanamke akiwa na kikwapa ndo mtamu...umeona embe ikisha ivaa lazima inukie :cool2:
   
 17. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na nani anakuwambia unuse midomo yao?

  wewe nyonya tu domo lake, afu kitu muhimu kule chini kuwe na symphony orchestra :violin:
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Atafute deoderant za nivea za alovera products original
  na asivae sana nguo za kumkosesha hewa.
  aoge kila amra hata mara 2 kwa siku.
   
Loading...