Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kweli ni rumours tu ! but hamna ushahidi!.......the deodarants are very effective in reducing/ elimenating body odours! I normaly recommend patients/clients to use them sparingly...use the aluminium based deodants for a period of 12hrs apply in the evening after wash or bath and wash off in the morning; then use ordinary deodarant sprays!!


Can antiperspirants or deodorants cause breast cancer?


Antiperspirants/Deodorants and Breast Cancer - National Cancer Institute

Articles in the press and on the Internet have warned that underarm antiperspirants (a preparation that reduces underarm sweat) or deodorants (a preparation that destroys or masks unpleasant odors) cause breast cancer (1). The reports have suggested that these products contain harmful substances, which can be absorbed through the skin or enter the body through nicks caused by shaving. Some scientists have also proposed that certain ingredients in underarm antiperspirants or deodorants may be related to breast cancer because they are applied frequently to an area next to the breast (2, 3).

However, researchers at the National Cancer Institute (NCI), a part of the National Institutes of Health, are not aware of any conclusive evidence linking the use of underarm antiperspirants or deodorants and the subsequent development of breast cancer. The U.S. Food and Drug Administration (FDA), which regulates food, cosmetics, medicines, and medical devices, also does not have any evidence or research data that ingredients in underarm antiperspirants or deodorants cause cancer.

Kuna scientific rumors sasa hivi zinazo husisha hii na breast cancer.
 
Kuna sabuni za kuoga zinatoka Kigoma zinatengenezwa kwa mawese,hii sabuni ni nzuri kwa harufu na bei yake kwa mche ni shilingi 2000,zinaondoa kabisa kikwapa,vidonda na kulainisha ngozi.
 
Jamani naomba msaada kwenu kwa anayeifahamu dawa ya kumaliza tatizo hili kwa sababu ninaye mtoto wa miaka 11 wa kike anasumbuliwa na tatizo hili hata atoke bafuni kuoga au ni ugonjwa wa kurithi?!

tatizo dogo sana hili mwambie aoge maji ya ukoko wa ugali - lowekeni sufuria mlilopikia ugali kwa masaa lets say jioni hadi asubuhi, asubuhi mwambie aogee, mara tatu nne hivi hakuna harufu tena.
 
Inawezekana ni tatizo linalotokana na mtoto kukua na mwili wake kutoa hormones nyingi....."adolescence/ puberty stage" pengine hali hii itapungua jinsi anavyokua..lakini kwa sasa atumie body deodarant roll on za kupaka kwenye kwapa na deodarant body sprays za kupulizia mwili mzima!! (sio perfume)

Deodarant zenye aluminium chloride hexahydrate kama DRICLOR ambazo hufanya kazi masaa 24 ndizo zinafaa zaidi (sina uhakika kama zinapatika tanzania).

nilitaka kumwambia hivyo hivyo lakini umeshamaliza.......zinapatikana kwenye baadhi ya pharmacy sio zote coz kuna wengine hata hawazijui.....kama yupo Arusha aniambie nimuelekeze mahali pa kuipata......ni nzuri sana na inafanya kazi mara moja.....
 
Heshima kwenu wana JF. naombeni msaada wa mawazo jinsi gani nitaweza kumaliza tatizo la jasho. mimi ninatokwa na jasho jingi sana makwapani yaani hadi nakosa raha. Sina uhuru mwenzenu ikiwa ni jua, baridi, asubuhi au usiku ni jasho tuu..Kazini ndio kabisa yani lazima nivae dark colours kuficha muonekano wa jasho.

Nilishaenda hospitali kadhaa ila madaktari waliishia kuniambia ni maumbile tu sina tatizo lolote. Na kuongezea tu ni kwamba, jasho langu halitoi harufu mbaya.

Je, nitumie nini ili nami niwe wa kawaida na kuwa huru kuvaa nguo yoyote?

Natanguliza shukrani.
 
Pole sana. Kuna "mtaalam" wa kwapa hapa JF kwa jina la Ngabu, wee mkuu vuta subira tu kidogo natumai atakuja kukupa ushauri!!!
 
tatizo hili linatibika hospitalini, ila sina uhakika kama bongo wapo madaktari wa hii speciality...cosmetic surgeons. huku ughaibuni wanafanya sana tu matibabu haya tena kwenye outpatient clinic (hapo kwa hapo), wanakupiga sindano za BOTOX sehemu yenye tatizo (kwapani), na tatizo linakwisha hapo hapo.
 
melin201,

Pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu, na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute
 
Safisha kwapa vizuri na uchukue kipande cha limao/ndimu na ukamulie ile juice yake, tatizo litaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom