Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

Maskini hivi karibuni amekuwa akihubiri Sana wake zetu "wasitunyime" dah!

Mume wake alikuwa anampenda Sana.
Siku moja wakiwa wanatoa Fedha kwa wakala Metropole niliwakuta na kuwasalimu. Nikamsifia Irene kidogo kwa kazi take ya ukungwi, then Seba akachombeza " umeona alivyo mwanamke Supa ee"
Hebu rudia kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wanaume wenye afya nzuri na uwezo mzuri wa kimaisha wanafariki sana siku hizi? Tena ghafla tu? Imekuwaje tena? RIP
 
pole sana kwa huyu dada ambae kwa namna moja ama nyingne ameimarisha ndoa nyingi sana kwa kuwafundisha wake zetu kua wanawake wasikivu
Ndoa yake yeye vipi? Kwa nini mume wake amekufa ghafla sana huku akiwa na afya nzuri tu muda mfupi kabla ya hapo? Muda huu wengine hatuhitaji kusikia habari za ndoa alizoimarisha, tunataka kujua kuhusu mumewe.
 
Back
Top Bottom