KUNGURU WANAMALIZA VIFARANGA WA KUKU WANGU

Kitabu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
288
Points
195
Kitabu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
288 195
Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji ,je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti??? Msaada tafadhali
 
Entreprenuare

Entreprenuare

Senior Member
Joined
Aug 24, 2019
Messages
112
Points
225
Entreprenuare

Entreprenuare

Senior Member
Joined Aug 24, 2019
112 225
Tengeneza kibanda wafungie humo.. mbaka wakue kue.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,914
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,914 2,000
Wapakae rangi ya kutengenezea ice cream... haswa nyekundu au ya njano...


Cc: mahondaw
 
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
1,215 2,000
Weka chicken mesh juu ili ndege hao wasiingie kula vifaranga
 
T

tchaot

Senior Member
Joined
Sep 20, 2018
Messages
148
Points
250
T

tchaot

Senior Member
Joined Sep 20, 2018
148 250
Wapakae rangi ya kutengenezea ice cream... haswa nyekundu au ya njano...


Cc: mahondaw
Na kama utaona rangi ya ice cream yafutika mapema wapake rangi ya ukiri(kwa ajili ya rangi za mikeka) hyo haifutiki hadi wamekuwa kiasi cha kutosha😀😀😀😀
 
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
1,823
Points
2,000
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
1,823 2,000
Wawekee sumu ya panya kwenye maanadazi halafu ukifanikiwa kumuua mmoja tu, ufunge mzoga wake na uuning'inize juu jirani na eneo unalofugia. Wakiuona tu mzoga wa mwenzao, hawatakuja wasogelee tena eneo lako.

Au kama una mikanda ya video/kanda (tape), au kamba za rangi rangi, zungushia eneo lako! Kwa akili yao watajua ni mtego na hivyo wataogopa kukaribia. Hao wadudu wanaongoza kwa uwoga duniani.
 

Forum statistics

Threads 1,336,208
Members 512,562
Posts 32,530,658
Top