MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Nov 19, 2012 #2 Pole ndugu yangu ndio ndoa za siku hizi....kimtegotego
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Apr 25, 2012 9,397 8,852 Nov 19, 2012 #4 kigoda said: Shigongo at work! Click to expand... Udaku.com
Father of All JF-Expert Member Feb 26, 2012 6,376 6,709 Nov 19, 2012 #6 Umekosa bata na kuku hadi ufuge kunguru? Achaneni na madege haya machafu yatawaumiza bure.
KASHOROBANA JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,241 963 Nov 20, 2012 #9 king'asti said: kwani talaka mwisho mara ngapi? Click to expand... hakuna cha mara ngapi? Kuna ndoa za mkataba siku izi, muulizeni vzr uyo binti, hamjajuaga tu?
king'asti said: kwani talaka mwisho mara ngapi? Click to expand... hakuna cha mara ngapi? Kuna ndoa za mkataba siku izi, muulizeni vzr uyo binti, hamjajuaga tu?