Kung fu china basiii...?

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
999
668
Habari za wkend wana jf. Nmeona niulize hili suala la kung fu china kupigwa marufuku.
Katkat ya wik iliyopita nilipita mtaa mmoja nkakuta vijana wawili wakibishana kuwa nani mkali kati ya Jet Lee na Donni Yen. Ckutaka kuingilia mabishano yao nikaona niperuz kwenye net nikakuta vitu vilvyonichanganya kidogo hvyo nkaona hebu niulize wana jf kwa uhakika zaid kwan kuna wengine yawezekana wapo china kabisa.
1; hivi n kweli china wamepiga marufuku kung fu?
2: kwa maoni waliyoyatoa jamaa wanadai kuwa sasa hivi yale tunayoyaona kwenye muvi ni WUSHU na cio KUNG FU. je WUSHU ni nini?.
3: je mashauling monki bado wapo kwan wanadai matempo ya mashauling yamebaki kama majumba ya maonyesho?
4: kama ni kweli wamepiga marufuku kung fu ni kwa sababu zipi?
5: katika uhalisia je ni nani anapigwa kati ya Jet Lee na Donni Yen?
Naomba kuwakilisha kwa kuniondole utata huu.
 
tehe tehe, katika movies wanaopigana hasa ni "mastunt men" sio hao mastar unaowajua, anayejitahidi kufanya mwenyewe kidogo ni jackie chan. kwa hiyo unless jamaa watapambana katika mpambano live huwezi kujua hata kama wanafahamu hizo kungFu zenyewe!
 
wush kung fu ni kung fu ya kamali wanacheza kwny makasino tena kunawakali zaidi ya mastar unao wajua wush kung fu ninoma
 
Kung Fu kule China ni kama Kiswahili Tanzania!
Serikali ya Tanzania inaweza kupiga marufuku kiswahili?
 
Bruce lee ndio mfame wa Kung Fu kama Pele kwenye soka

cc Baba V
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom