The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Tunamuomba mheshmiwa atume vijana wake kulikabili hili kundi kwani jana lilifanya uporaji na kujeruhi watu mbalimbali maeneo ya Kongowe kwa Mau.
Kundi hili hufanya kazi zao mfano wa yale ya mbwa mwitu, panya road na watu sabini.
Limeleta hofu sana kwani leo hii watu walishndwa kufanya kazi zao kwa uhuru wakihofia kudhuriwa tena kama jana.

Last edited by a moderator: