Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Nani anawajua hawa vijana kwa undani?. Na contact zao...
Ni vijana ambao ukusanyika katika sehemu moja karibu na bar maarufu ya Fairway hasa siku za wekend. Mara kadhaa nimetembelea hapo na kukuta wakipiga story za siasa na inasemekana wana nguvu sana katika serikali hii.
Ushawishi wao unasemekana ni mkubwa sana. Baada ya kufatilia nitagundua wengi wao wako sehemu nyeti katika ofisi za serikali.
Je kuna anaowafahamu hawa vijana, je nitawezaje kujiunga nao?.... Msaada Plz!