Kundi la Nyuki limeingia chumbani, nawatoaje?

Na Mimi wameingia kwangu,nawatandika na HIT tu .Nimemaliza ya kwanza nafata ya pili mjomba wangu.Na hivi na stress za madeni nawauaaa tu nawafagia Kama mchanga.
 
Waone wadau wa nyuki ili ikiwezekana ubadilishe chumba chako kiwe na mizinga mingi.
Kwa ufupi huo ni utajiri ulijileta wenyewe,mtaji wako wa ziada ni mizinga na nta.
Mfano tembelea.....
 
Na Mimi wameingia kwangu,nawatandika na HIT tu .Nimemaliza ya kwanza nafata ya pili mjomba wangu.Na hivi na stress za madeni nawauaaa tu nawafagia Kama mchanga.
umisha kwenye dudu kama una kibamia halaf njoo hapa unishukuru basdae mana tatizo lako la kibamia litakuwa limeisha
 
Kuna mapishi yalifanyika yanayotumia sukari nyingi naona wakajialika kama Wageni rasmi.

Tatizo ni hapo kwenye kutoka, tunawaelekeza kutoka lakini wapi, na kadri tunavyoacha mlango na dirisha wazi ndivyo wengine nao wanaingia.
Mnawaelekeza kutoka kwa lugha gani...msije mkatumia kiswahili kumbe wenyewe ni watalii toka ughaibuni huko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom