Kundi la Lowassa tumepoteza mbunge mmoja na mahasimu wetu wameongeza mmoja

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Wakati wengine wakisherehekea CCM kuchukua igunga ingawa sisi pia ni CCM lakini tumepata pigo kubwa sana kwani tumepoteza mshirika wetu katika jimbo la igunga na aliyeingia Dr kafumu sio mshirika wetu ni mshirika wa mangula sumaye na mkapa

tutajibu mapigo bila kujali idadi yetu na tumejipanga vya kutosha kuchukua ngazi muhimu za chama kwenye chaguzi za ndani
 
Okey poa.
 
Hampati kitu huyo lowasa bado zamu yake....

Chadema mwendo mdungo....

muda ni hakimu muhimu sana , wakati utafika na kila atayelala kwenye njia ya treni basi atatamua matairi ya chuma yanamadhara gani
 
Kumbe kuna ushindi wa ndani na wa nje ya chama! Poleni sana.
 
Mamvi anajifia taratibu, wapinzani wenu wameshamfanya kitu mbaya, siku hizi anashinda Nigeria anaombewa, muombeeni afike 2015!
 
huyu lowassa siyo mbaya sana na kama akiplta na aakamua wizi ni mwisho au amonopolize wizi uwe katika ofisi ya rais tu na kusimamia watendaji wake wote kikamilifu haitakua mbaya sana kulinganisha na huyu kikwete...Sema timu yake mdebwedo na ukilinganisha atataka kulipa visasi kwa kuengua maadui ambao wengi wao angalau wana upeo wa kazi.
 
muda ni hakimu mzuri , kuanzia mwakani kwenye chaguzi ndani ya chama mtagundua nini namaanisha kuhusu ,
ni mwanzo wa mapambano marefu kwani wamejitahidi kutuhujumu kwa muda mrefu sasa ni wakati wetu
 
Wakati wengine wakisherehekea CCM kuchukua igunga ingawa sisi pia ni CCM lakini tumepata pigo kubwa sana kwani tumepoteza mshirika wetu katika jimbo la igunga na aliyeingia Dr kafumu sio mshirika wetu ni mshirika wa mangula sumaye na mkapa

tutajibu mapigo bila kujali idadi yetu na tumejipanga vya kutosha kuchukua ngazi muhimu za chama kwenye chaguzi za ndani

Laiti ungelijua zengwe analosukiwa usingejiburudisha bali ungeanza na yowe!
 
Laiti ungelijua zengwe analosukiwa usingejiburudisha bali ungeanza na yowe!

tumejipanga vya kutosha kujibu mapigo kwenye sekta zote siasa na nje ya siasa.....kama wakitaka uwe mwisho na mwanzo basi wajaribu kuanzisha watajuta , hatuna mda tena wa kunyamaza , walitesa mioyo yetu tukanyamaza , sasa hatuna subira zaidi ya hapa kila kauli itajibiwa na kauli na kila kitendo kitajibiwa na kitendo ,,,,ndani ya chama , nje ya chama na ndani ya taasisi za kiserikali na pia kwa wananchi
 
Wanazidi kujichanganya japo,mtandao unazidi kupotea............Magwanda kila la kheri,aluta continua.
 
Wakati wengine wakisherehekea CCM kuchukua igunga ingawa sisi pia ni CCM lakini tumepata pigo kubwa sana kwani tumepoteza mshirika wetu katika jimbo la igunga na aliyeingia Dr kafumu sio mshirika wetu ni mshirika wa mangula sumaye na mkapa tutajibu mapigo bila kujali idadi yetu na tumejipanga vya kutosha kuchukua ngazi muhimu za chama kwenye chaguzi za ndani
Hata nami pia nilijua kuwa huu ni ushindi dhidi ya mafisadi wa CCM na vibaraka wao CDM
 
huyu lowassa siyo mbaya sana na kama akiplta na aakamua wizi ni mwisho au amonopolize wizi uwe katika ofisi ya rais tu na kusimamia watendaji wake wote kikamilifu haitakua mbaya sana kulinganisha na huyu kikwete...Sema timu yake mdebwedo na ukilinganisha atataka kulipa visasi kwa kuengua maadui ambao wengi wao angalau wana upeo wa kazi.

nimeipenda hiyo japo mi binafsi namkubali sana lowasa hasa katika suala la uwajibikaji
 
wanaharakati natambua kuwa kuna wajumbe walio pamoja nasi wanaelekea kutishwa na kundi wapinzani wetu hivyo basi leo kuna kikao cha kuyajadili na tutatoa tamko juu ya nini kifanyike na nani mwenye chama na kutaka kuwatisha kuwa wao ndio wanaofahamu ni wajumbe gani wamekisaliti CCM(IGUNGA), hiyo haikubaliki na pia tunawasiliana na wajumbe wengine wa mikoa mingine kuzuia haina yeyote ya unyanyaswaji wa wajumbe wa lowassa katika mikoa yote la sivyo tujue nani mwenye haki miliki ya CCM
 
Back
Top Bottom