Kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Libya lawasili nchini Rwanda kupewa hifadhi, ulinzi na kazi

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kundi la kwanza la wakimbizi 66 wakiwemo watoto, akina mama na watu wanaohitaji msaada wa haraka, ambao wamekuwa wakizuiwa nchini Libya, wamewasili jijini Kigali nchini Rwanda, na kupelekwa katika kambi iliyoandaliwa kwa ajili yao, Mashariki mwa nchi hiyo.

Miongoni mwa wakimbizi waliowasili Alhamisi usiku, ni mtoto mwenye umri wa miezi miwili, aliyezaliwa na wazazi kutoka Somalia, lakini walijikuta wakiwa wamekwama nchini Libya.

52F8DF12-6095-4169-9F52-F6B032D46314.jpeg

Awamu ya pili ya wakimbizi wapatao 125, wanatarajiwa kuwasili katika tarehe 10-12 mwezi Oktoba kwa mujibu wa afisa wa juu wa Umoja wa Mataifa.

"Tumetua" Huu ndio ujumbe ulioandikwa katika ukurasa wa Twitter wa Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia wakimbizi.

BC6F3276-9B24-4191-849D-8234E0C3F3B8.jpeg

Mapema mwezi huu, Rwanda ilitia saini mkataba na Umoja wa Afrika na Tume ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia wakaimbizi UNHCR, kwa nchi hiyo kuwakarabisha wakimbizi kutoka mataifa ya Afrika waliokwama nchini Libya wakiwa mbioni kwenda barani Ulaya.

Serikali ya Rwanda imesema iko tayari kuwapa hifadhi wakimbizi 30,000 kati ya 42,000 wanaozuiwa nchini Libya lakini itawakaribisha kwa utaratibu maalum wa kuwakubali 500 kwa hatua kadhaa, ili kuzuia nchi hiyo yenye watu Milioni 12 isiwe na mzigo.

2E5C6F3A-5FB9-4224-9E88-FEDD276DCA05.jpeg
 
Nashangaa nchi yetu kuwafukuza wakimbizi..hii ni rasilimali inayohitajika..kikubwa tuweke mifumo sahihi ya kuwatumia ili kuikuza nchi yetu kiuchumi...angalia nchi kama marekani wageni ndio wameipa nguvu.
Wewe jamaa hazimo! Unategemea wakimbizi ndo waje kuinua uchumi wetu! Duh! Wee mtu wawapi? Mkimbizi ni mtu duni na desperate wa kila kitu ambaye nchi yake mwenyewe imemkataa na kuomba aifadhiwe nchi nyingine! Mkimbizi anaishi kwa usamalia mwema na kuhudumiwa na shirika la wakimbizi duniani! Jiulize kinachopwlekea wakimbizi ni nini? Njaa, vita, umasikini, majanga, n.k. Je! Mtu aliyepatwa na majanga hayo ndo unategemea aje kuinua uchumi wako? Wee mpumbavu kabisa
 
Kagame anachokifanya ni kujisafisha katika jumuia ya kimataifa aonekane ni MTU mwema. Nchi yenyewe ya Rwanda ni ndogo sana na wala haina ardhi ya kutosha wananchi wake. Labda ni kupata hela kutoka mashirika ya wakimbizi kwa vile anaifadhi wakimbizi. Lakini kusema Kagame anachochote cha kuwapa wakimbizi zaidi ya kuwafungia kambini ni kujidanganya! Rwanda is one of the poorest of the poor African country! Mengine ni makelele ya kujikweza tu!
 
Nimetafakari nimekosa majibu hivi rwanda haina watu wanaotafuta political asylum au ukimbizi wa kiuchumi.Kazi kwelikweli!
 
Nashangaa nchi yetu kuwafukuza wakimbizi..hii ni rasilimali inayohitajika..kikubwa tuweke mifumo sahihi ya kuwatumia ili kuikuza nchi yetu kiuchumi...angalia nchi kama marekani wageni ndio wameipa nguvu.
Umenena mukuu! Hii inaitwe (vision)only visionary man can see this.
 
Kwanza punguza hasira mkuu usipanic, alichokisema jamaa yuko sawa kabisa, sheria za kimataifa zinasema pindi mkimbizi mmoja akisajiliwa tu ktk nchi yako iwe kakubaliwa ukimbizi au kakataliwa basi serikali inapokea mamilioni ya hela, usione wazungu wajinga au wana huruma kupokea wakimbizi, wanapiga hela nyingi sana kutoka UN kutokana na hao wakimbizi, Ujerumani kukua kwa uchumi wao umechangiwa sana na hao wakimbizi, ata Italy pia, so Rwanda anatumia advantages hizo ili kupiga hela nyingi sana na itamsaidia kiuchumi
Wewe jamaa hazimo! Unategemea wakimbizi ndo waje kuinua uchumi wetu! Duh! Wee mtu wawapi? Mkimbizi ni mtu duni na desperate wa kila kitu ambaye nchi yake mwenyewe imemkataa na kuomba aifadhiwe nchi nyingine! Mkimbizi anaishi kwa usamalia mwema na kuhudumiwa na shirika la wakimbizi duniani! Jiulize kinachopwlekea wakimbizi ni nini? Njaa, vita, umasikini, majanga, n.k. Je! Mtu aliyepatwa na majanga hayo ndo unategemea aje kuinua uchumi wako? Wee mpumbavu kabisa
 
Kwanza punguza hasira mkuu usipanic, alichokisema jamaa yuko sawa kabisa, sheria za kimataifa zinasema pindi mkimbizi mmoja akisajiliwa tu ktk nchi yako iwe kakubaliwa ukimbizi au kakataliwa basi serikali inapokea mamilioni ya hela, usione wazungu wajinga au wana huruma kupokea wakimbizi, wanapiga hela nyingi sana kutoka UN kutokana na hao wakimbizi, Ujerumani kukua kwa uchumi wao umechangiwa sana na hao wakimbizi kwa sababu, ata Italy pia, so Rwanda anatumia advantages hizo ili kupiga hela nyingi sana na itamsaidia kiuchumi
Rwanda received no payment for Libya evacuees: officials

Kamayirese said that the intervention is purely on humanitarian grounds and was taken in consultation with several stakeholders in refugee affairs, and it was not transactional in any way.

Kamayirese(R) told journalists that the intervention is purely on humanitarian grounds and was taken in consultation with several stakeholders in refugee affairs. (Sam Ngendahimana)

Rwanda was not paid to offer a sanctuary to hundreds of African refugees and asylum-seekers who are expected to arrive in the country in the coming weeks, the Minister for Emergency Management has said.

Germaine Kamayirese was yesterday briefing journalists in Kigali on the Memorandum of Understanding signed between the Government, the African Union (AU) Commission, and the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) regarding the evacuation of refugees and asylum-seekers out of Libya.

Rwanda’s representative to the African Union, Amb. Hope Tumukunde, signed on behalf of Kigali, while Amira Elfadil Mohammed Elfadil, the Commissioner for Social Affairs at the African Union Commission, and Cosmas Changa, the UNHCR representative to the AU, signed for their respective organisations.

She was reacting to reports by a section of international media outlets that Rwanda was receiving payments from the European Union to take in the refugees.

“This refugee problem is a challenge facing fellow Africans. We should not always wait for external help to save lives, any African country in position to can step in and help,” the minister said.

Under the framework that was signed, UNHCR will cover the cost of hosting the refugees, with the first group of 500 refugees set to be evacuated to Rwanda from Libya in the “coming weeks”. “The group is principally made up of people originating from the Horn of Africa and includes children and youth at risk.”

The MoU marked the establishment of an Emergency Transit Mechanism (ETM) in Rwanda – Gashora Reception Centre in Bugesera District.

As part of the agreement, on their arrival to Rwanda, UNHCR will continue to pursue solutions for the refugees.

This could be in the form of third country relocation, repatriation, or integration in Rwanda, according to a joint statement released by the three parties to the agreement.

The deal was signed at the African Union Headquarters in Addis Ababa, Ethiopia.

“While some may benefit from resettlement to third countries, others will be helped to return to countries where asylum had previously been granted, or to return to their home countries if it is safe to do so,” the statement reads in part.

Some may be given permission to remain in Rwanda subject to agreement by the competent authorities, it adds.

The development follows a commitment by the Government in 2017 to host thousands of migrants who were trapped in Libya, as European nations stepped up migrant controls.

Under the framework, the “Government of Rwanda will receive and provide protection to refugees and asylum-seeker, as well as others identified as particularly vulnerable and at-risk, who are currently being held in detention centres in Libya,” according to a joint statement released after the signing Tuesday morning.

Speaking in Kigali moments after the agreement was signed, UNHCR representative to Rwanda Ahmed Baba Fall said they were currently in the process to renovate the reception centre in Gashora.

The facility, which has been in existence for about for years now, has previously served as transit centre for refugees from Burundi.

The centre will be equipped with ideal accommodation facilities, school blocks, health posts, and water, sanitation as well as electricity.

The evacuations will be on voluntary basis, he said, adding that the evacuees will be required to sign a consent form committing to abide by the law and culture of the host country.

Kamayirese said Kigali’s offer to host the refugees was informed by appreciation of the dire situation that the African refugees and asylum-seekers in Libya face.

The agreement paves way for Rwanda to become the third country after Niger and Romania to receive refugees and asylum-seekers from Libya.

Fall said they hope that Rwanda’s intervention will inspire more African countries to do the same.

He said there is an estimated 800,000 African migrants in Libya.

UNHCR has evacuated more than 4,400 refugees and asylum-seekers out of Libya to other countries since 2017, including 2,900 through the Emergency Transit Mechanism in Niger and 425 to European countries through the Emergency Transit Centre in Romania.

The UN agency says there are some 4,700 people still in dire conditions inside detention centres in Libya and urgently need to be moved to safety and to be provided with protection, lifesaving assistance, and durable solutions.

Rwanda currently host about 150,000 refugees.
 
What is Rwanda getting out of this? They do not have enough land for their own people!
 
No one knows,wao wanasema ni for humanitarian basis&to restore refugees dignity ssbabu na wao walishawahi kua wakimbizi.

Kuna sehemu nimesoma wana-guess kwamba since target yao ni ku-accomodate wakimbizi 30,000 labda wanataka watu wazaliane humo zije chotara za aina mbalimbali na baada ya miaka mingi ijayo labda itawasaidia kupunguza kubaguana kati ya wahutu na watusi,maana kutakua na mixed race.
 
Wewe Sasa ndo unaropoka kabisa,yaani hujui chochote kuhusiana na faida kutoka kwa wakimbizi,
Hebu waulize watu wa uvinza kigoma baada ya kambi iliyo kuwa kule kufungwa ilikuwaje na kabla ya kambi kuwekwa ilikuwaje,na mda kambi ilivyo kuwepo ilikuwaje.toka hapo nenda mpaka kasulu mjini,usiishie viunga vyake vilivyo karibu na kambi.waulize ni taabu ipi wanaipata baada ya wakimbizi kukoseshwa uhuru kabisa???
Hayo matatizo yenu ya kukariri elimu za chuoni usituletee kwenye elimu ya majsha.
Nonsense
Wewe jamaa hazimo! Unategemea wakimbizi ndo waje kuinua uchumi wetu! Duh! Wee mtu wawapi? Mkimbizi ni mtu duni na desperate wa kila kitu ambaye nchi yake mwenyewe imemkataa na kuomba aifadhiwe nchi nyingine! Mkimbizi anaishi kwa usamalia mwema na kuhudumiwa na shirika la wakimbizi duniani! Jiulize kinachopwlekea wakimbizi ni nini? Njaa, vita, umasikini, majanga, n.k. Je! Mtu aliyepatwa na majanga hayo ndo unategemea aje kuinua uchumi wako? Wee mpumbavu kabisa
 
Wewe Sasa ndo unaropoka kabisa,yaani hujui chochote kuhusiana na faida kutoka kwa wakimbizi,
Hebu waulize watu wa uvinza kigoma baada ya kambi iliyo kuwa kule kufungwa ilikuwaje na kabla ya kambi kuwekwa ilikuwaje,na mda kambi ilivyo kuwepo ilikuwaje.toka hapo nenda mpaka kasulu mjini,usiishie viunga vyake vilivyo karibu na kambi.waulize ni taabu ipi wanaipata baada ya wakimbizi kukoseshwa uhuru kabisa???
Hayo matatizo yenu ya kukariri elimu za chuoni usituletee kwenye elimu ya majsha.
Nonsense
Kigoma huko wakimbizi wa Burundi si ndio wapiga jembe wakuu wa mashamba ya watu wa kigoma.
 
Back
Top Bottom