Kundi la FFU wa Ukonga na vifaa njiani kwenda Arusha

Na kesho asubuhi vijana wa Dar-es-Salaam na Mbeya nao wakianza kuitikaa wito watafanya nini? Hivi kweli wanafikiri wana magereza ya kutosha kumfunga kila mtu anayewapinga?

MM jamaa wanaweza kuleta hata jajawid/maharamia kutoka somali/sudan. Wanataka kutetea ufisadi wao kwa damu ya raia.
 
wananchi wa mkoa wa arusha hawana tofauti sana na wakaazi wa nairobi kwa tabia nadhani washauri wa usalama hawajamuambia hilo....msichangae kesho watu wakashuka toka milimani na sime na mapanga kwenda kuwatoa watu wao.....mimi naogopa ......na atakuwa anawawekea mazingira magumu askari wa mkoa wa arusha ambao nao wanaishi na wananchi kwani kutakuwa na hatari ya wao kukatwa shingo na locals....Mungu atuepushe na hili...but wakaazi wa huko ni tofauti sana na wale wa dar ambao ukishawapiga wakitawanyika wamesahau........kule watatawanyika lakini watabaki nalo....dizaini ya wameru ,wamasai ,wachagga na wambulu ni tofauti.....hasa wale wa vijiji na mitaa ya jirani

Asante mkuu ila kwa faida yako na wanaJf wengine. hawa jamaa nafikiri wanaitwa Wairaqw.
 
Kuindi la FFU toka Ukonga limeondoka usiku huu na vifaa na magari kwenda Arusha

Na kesho asubuhi vijana wa Dar-es-Salaam na Mbeya nao wakianza kuitikaa wito watafanya nini? Hivi kweli wanafikiri wana magereza ya kutosha kumfunga kila mtu anayewapinga?

Pengine watakuwa wamefika Moshi na kuweka kambi hapo, maana kuna minong'ono kwamba Moshi imeambukizwa mzuka wa vurumai za Arusha.

Usafiri unaotumika hapa maana yake nini, jeshi halina ndege?
 
JK bado hawajui watu wa Arusha, just wait, these people 10 killed, u will regret, narudia huwajui watu wa Arusha, ndio umewachokoza,
umewaulia 10 tayari, umefungulia vita, si Arusha say somewhere else

Mkuu watu wa Arusha wananini cha ajabu, mbona unawasifia sana.
Unakumbka yaliyojiri pemba
 
JK bado hawajui watu wa Arusha, just wait, these people 10 killed, u will regret, narudia huwajui watu wa Arusha, ndio umewachokoza,
umewaulia 10 tayari, umefungulia vita, si Arusha say somewhere else

...true kule polisi haijawahi kutawanya maandamano kwa kumwaga damu hata wakati wa mrema watu ma mkoa wa arusha ukiwafanyia kitu wanaweza kulipiza hata baada ya muda waakawa wanawadhuru polisi ambao wengi wanaishi mitaani..hapa wamewatafutia polisi wa pale kuishi kwa wasiwasi..........nashauri haya malumbano yamalizwe haraka tusiingize mji wa arusha kitovu cha utaliii vitani naamini tayari kutakuwa na watalii wamekatisha safari zao na ijulikane kuwa kuna population kubwa ya wazungu wanaishi arusha watakuwa wanawaambia ndugu zao mtaanza kuona ndege zinaingia KIA kuja kuwachukua kama IVORY COST .....kweli Tanzania tunafika kukosa busara hii?
 
Na hii yote ni kwasababu tu wameambiwa wafanye mkutano bila maandamano na wao wakakaidi, wakaandamana makusudi ili litokee la kutokea wakuze mtaji wao wa kisiasa.
 
Mkuu watu wa Arusha wananini cha ajabu, mbona unawasifia sana.
Unakumbka yaliyojiri pemba

ni wapiganaji wa hatari huwajui, hata miaka ipite ukisha muua mtu Arusha, tafuta pa kwenda, kuna Wairaqw ( wa somali wa TZ) wamasai, wameru, wa berbaig, hawajui nini wala nini, wataacha kila kitu hadi na wao waue, not face to face, usiku kwa usiku, ww utadhani vita imeisha noooo, wako hivyo, na ni mila kule, huwezi kumuua mtu Arusha ukasema imeisha, hata siku moja, nasema wait & see, then utasema Arusha si pemba
 
Halisi pls, rhetoric za namna hii kwa nini huwa zinakuwa propagated anytime JK na wasaidizi wake wanapoonekana kushindwa uongozi????? Kwa mamlaka aliyonayo JK kikatiba sidhani kama anaweza kuhujumiwa kienyeji enyeji! It is only that he's not smart na wasaidizi wake wanamuogopa badala ya kumuheshimu.

Uko sahihi Mkuu, ana mamlaka hayatumii
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!
 
Back
Top Bottom