Kundi la FFU wa Ukonga na vifaa njiani kwenda Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kundi la FFU wa Ukonga na vifaa njiani kwenda Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Jan 5, 2011.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuindi la FFU toka Ukonga limeondoka usiku huu na vifaa na magari kwenda Arusha
   
 2. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mhhh...! Hebu tupe source tafadhali.

  Mwaka huu wataleta FFU hadi kutoka Kenya, mpaka kieleweke...!
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Halisi ni reliable source of the so called dataz, so that you know.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,946
  Trophy Points: 280
  ngoya tuwazuie hedaru hapa
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  ufisadi tu.
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Naongozana nao ktk mabasi maalumu
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wamechukua na kuruta wa CCP Moshi
   
 8. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hii sasa ni vita rasmi.. na je wananchi wakianza kujimobilize? Naomba Mungu atuepusha na umwagaji damu zaidi....
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Hii sasa ni kusema JK ameamua kuanzisha vita na wananchi
   
 10. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Tumejaribu kuipitisha habari hii katika vyombo vingine vya kimataifa kama CNN na AP ili waufuatilie ukweli wa matukio ya huko Arusha...Mkuu Halisi simu yako iwe wazi kama kuna clarification yoyote itahitajika!
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jk ana akili timamu? anapotuma FFU ili kupambana na waliomwajiri ana maana gani? Mwachane aendelee mwishoni atawaita JWTZ. Lakini mwisho wa yote umma utashinda
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,652
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  na bado atatuma mpaka jeshi hapo.. mamammaaaaaaaae nasi solidarity forever mwisho wa kuendesha nchi kihuni umeisha
   
 13. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Tayari wawakilishi wao wapo Dar na Arusha. Wameshawaambia wafuatilie. Hali si shwari sana, ila nahisi kama JK anahujumiwa bila kujijua
   
 14. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakishidwa FFU, watapeleka JESHI KABISA.... KWELI UFISADI UNALINDWA KWA NGUVU ZOTE.
   
 15. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh hii sasa hatari. Hawa jamaa wa ccm wanaongeza petroli kwa moto...
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Na kesho asubuhi vijana wa Dar-es-Salaam na Mbeya nao wakianza kuitikaa wito watafanya nini? Hivi kweli wanafikiri wana magereza ya kutosha kumfunga kila mtu anayewapinga?
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halisi pls, rhetoric za namna hii kwa nini huwa zinakuwa propagated anytime JK na wasaidizi wake wanapoonekana kushindwa uongozi????? Kwa mamlaka aliyonayo JK kikatiba sidhani kama anaweza kuhujumiwa kienyeji enyeji! It is only that he's not smart na wasaidizi wake wanamuogopa badala ya kumuheshimu.
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  wananchi wa mkoa wa arusha hawana tofauti sana na wakaazi wa nairobi kwa tabia nadhani washauri wa usalama hawajamuambia hilo....msichangae kesho watu wakashuka toka milimani na sime na mapanga kwenda kuwatoa watu wao.....mimi naogopa ......na atakuwa anawawekea mazingira magumu askari wa mkoa wa arusha ambao nao wanaishi na wananchi kwani kutakuwa na hatari ya wao kukatwa shingo na locals....Mungu atuepushe na hili...but wakaazi wa huko ni tofauti sana na wale wa dar ambao ukishawapiga wakitawanyika wamesahau........kule watatawanyika lakini watabaki nalo....dizaini ya wameru ,wamasai ,wachagga na wambulu ni tofauti.....hasa wale wa vijiji na mitaa ya jirani
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280


  poor security strategy sikuona sababu ya kuanza na malumbani na wananchi kipindi hichi ambacho serikali inakabiliwa na suala la kupanda kwa gharama za maisha ,dowans..umeme...ukame unaokuja na kushuka kwa mapato ya nchi.....ni kuipeleka nchi kwenye mlipuko bila sababu......maana itaamsha waliolala..
  kama kamanda wa Arusha alishafanya mchanganuo wake na kuamua kuruhusu maandamano ya amani hapakuwa na sababu ya IGP kutapinga usiku..hii imeonesha kutokuwa na uongozi wa pamoja..ni dhahiri kamanda wa arusha alikuwa anaataka kupeleka ujumbe wa maridhiano kwa wakazi wa arusha ambao toka afike wanamuona kuwa ni kibaraka na mkandamizaji.....maandamano aliyoruhusu yangempa kuaminika kwa wananchi na polisi ingaanza tena kupewa ushirikiano na wananchi....lakini kitendo cha IGP kukurupuka kuingilia last minutes kutengua uamuzi wake......kimepelekea arusha kuwaaka moto......tuacheni ushabiki hapa tuongee kama watanzania ..IGP kachemka!!!....huo uchafuzi wa amani tayari ameuleta ..lakini wangeandamana kama walivyoruhusiwa wangetoka nyongo zao....na maisha Arusha yangerejea kama kawaida!!!!!!!
   
 20. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,084
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  JK bado hawajui watu wa Arusha, just wait, these people 10 killed, u will regret, narudia huwajui watu wa Arusha, ndio umewachokoza,
  umewaulia 10 tayari, umefungulia vita, si Arusha say somewhere else
   
Loading...