Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM

Status
Not open for further replies.
Ben karibu kwa matukio, kwanini asingekuwa humble na kujifunza kuishi kama mtu mwenye malengo ya juu.Naamini wananume tunawategemea wanawake na wanawake wanatutegemea.Ila maisha ya mwanaume unapojikuta umekuwa na mvuto [striker] basi ni vyema kucheza mpira huo kwa ufundi na umahiri.

Ndio kina dada wanavutika na watu wanaojiamini sana,wenye nafasi ya kuwaonyesha kuwa wakiwa nao basi wako kwenye mikono yenye usalama zaadi.Udhaifu wa mabinti /dada zetu kwa aina ya watu wanaitwa mastriker ni mkubwa sana, mwanamuziki wa kimarekani na single yake Mary B kayasema haya. Lakini muhusika anapaswa kujua vya watu navyo ni sumu,sio vyema kila gauni litakalo kushobekea na kukupatikia lazima ujue ndani yake kuna maua ya rangi gani?Ndio hapo tunapesama welevu wako unachuja mahusiano ya leo yanaweza kuwa na maumivu [Impact] kubwa sana kesho hvyo kujiepusha nayo leo ilikesho uwe salama.Uwezi kuwashinda MAADUI HASA WANAPOJUA UDHAIFU WAKO NI GAUNI.

Naona umejiridhisha kuwa ugomvi wao ndo huo, sasa kwanini dogo kaanza na kuzunguka mbuyu kutuletea picha za mshikaji humu ili mademu tumpende? Sasa anakosea hajui hata kutetea hoja yake ukimleta huku anakuja ukimpeleka kule kamiminika sasa mwanaume gani hana msimamo? Ndo maana hao mademu walikukimbia tena watakuwa wanajilaumu sana. Hata mwanadamu wa kawaida anahitaji mtu mwenye kumpa protection ya hali ya juu sasa wewe unanibania pua na mimi nifanyeje kama mwanamke hovyooooo!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom