Kundi gani limeathirika zaidi?

Status
Not open for further replies.

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,517
1,500
Salaamu mabingwa wa siasa!

Kuna makundi mawili ya kidini yaani waislamu na wakristo wamepandikizwa sana mambo ya udini kwamba Cuf ni cha waislamu na Chadema ni cha wakristo.Unadhani ni kundi gani limepokea serious hii dhana na athari zake zikawa ni dhahiri zaidi?.Kama ukiweka na mifano itakuwa bora.Na unahisi ni kwa sababu gani?

Tafadhali naomba tuzingatie kwamba huu sio mjadala wa kidini hivyo maoni yetu yanapaswa kuegemea zaidi katika madhara ya udini na athari zake katika kudhoofisha demokrasia nchini.cc kahtaan mgen na wengine wote.Karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom