Kunaupotoshaji wa makusudi wa uwakilishaji wa mwenendo wa kesi ya ugaidi katika kesi ya Mbowe

Acha roho mbaya ww
CHADEMA wamejipa wenyewe nafasi ya kutuletea mwenendo wa kesi wakati ikiendelea kwenye kesi inayo mhusu Mbowe. Ila nimegundua kitu cha ajabu sana kuwa uwakilishi wa mawakilisho na maswali ya mawakili wa utetezi ni fasaha na unamtririko mzuri Wakati ule wa upande wa mashitaka mtiririko wake si fasaha, unamakosa mengi ya uchapaji na urarudia rudia mambo.

MFANO
UPANDE UTETEZI

Shahidi:
Simfahamu wala sijawahi Kufika Central Dar

Nashon: Unasemaje kuhusu Detention Register aliyokuja nayo hapa Mahakamani

Shahidi: sifahamu alitoa wapi

Nashon: Kuna sehemu yoyote katika Ile Detention Register ambayo amekuinyesha Ulisaini wakati wanakupokea

Shahidi: sikuona

Nashon: Wakati Dective Msemwa anatoa Ushahidi Anasema alikuwa na Afande Fatuma kama CRO incharge,Je ulishwa kumuina FATUMA hapa Mahakamani.?

Shahidi: Hapana

Nashon: ni Kweli Kwamba Wakati Mkiwa mnaelekea Mbweni walikwambia watakupoteza.?

Shahidi: Afande Goodluck aliniambia Tutakupoteza Kama Moses Lijenje

Jaji: alisema wakati gani

Shahidi: Wakati tunayoka Tazara kwenda Mbweni,Tukiwa kwenye Gari

Nashon: ulielewa nini Kwa Maneno tutakutupa..?

Shahidi: nilijua kuwa watanipoteza,Wataniua alafu hakuna atakaye jua nipo wapi

UPANDE WA SERIKALI

Jaji:
Naona Hamuelewani Wakili uliza kwa Yale Mambo ya kawaida hayo ni Mambo ya Kijeshi

Wakili wa Serikali: Nilifikiri ni Mwalimu atakiwa anajua Mambo yote

Wakili wa Serikali: Kipindi Cha Muda Gani ulitumia kujifunza Kupigana katares Mpaka ukaweza

Jaji: Ndiyo Mwalimubwa amambo ya Jeshi siyo Kiswahili

Shahidi: Miezi Sita ya Kozi,92Kj

Wakili wa Serikali: Ulikaa Miezi sita 92KJ ukijifunza kupigana karates

Shahidi: Ndiyo

Wakili wa Serikali: Ulifanya Phase ngapi.?

Wakili wa serikali: ni sehmu Gani Nyingine ulienda Kupata Mafunzo ya karates

Shahidi: phase Moja,Mengine niliyapatia Mahala pengine

Shahidi: nilienda Kujifunza Kick Boxing kwa Wafaransa

Wakili wa Serikali: Kwa Miezi Mingapi

Je ni nini lengo la upotoshaji huu?
 
Uwe unaleta wewe updates
 
... mpelekeni Mahera akaripoti.
 
Ungesema mahakamani ulienda,ningekuelewa.

Ila Kama na wewe unafuatilia Twitter Kama sisi makabwela.

Basi huna hoja,
Kaa kimya TU usitiri ujinga wako
IMG_20210918_180250.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda wewe mahakamani au watume Crimea mama D wawe wanaripoti

Back
Top Bottom