Kunaulazima Rais aanzie miaka 40? mbona hawa walifanya makubwa kwenye umri mdogo.

watu wenyewe mnaoa mkiwa 30's
Hatutaki kuona mimba za ma first lady

Hilo wazo hao walioona 40 ndio miaka ya kuwa Rais walishalijadili.. walijadiliana watu wenye uwezo wa kufikiria mpaka ukomo wetu.. wakaona faida ya kuwa kiongozi katika umri huo ni nyingi sana.

20s mpaka30s jiachieni tu sio umri wa kupewa Taifa uliendeshe mkuu
 
mkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nk
 
Wewe umesoma wapi kuwa s.a.w sio muaanzilishi wa hiyo dini??

Hivi unajua maana ya dini??

Kama Mohammed sio mwanzilishi he nani alianzisha hiyo dini??

Iman kitu BAYA sana

Imani ya Kiislam ndio imefundisha hivyo kuwa Muhammad ( s.a.w) Sio muanzilishi wa Imani ya Kiislam bali yeye Ni Mtume wa Mwisho
 
mkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nk
sina mood ya kubishana mkuu.. Nmeshasema kwa maono yangu
 
Wewe umesoma wapi kuwa s.a.w sio muaanzilishi wa hiyo dini??

Hivi unajua maana ya dini??

Kama Mohammed sio mwanzilishi he nani alianzisha hiyo dini??

Iman kitu BAYA sana
Sawa iman kitu kibaya lakini ni vizuri kuheshimu imani za wenzio hili tuishi kwa kueshimiana
 
Kuna vijana kama Zito Kabwe na John Mnyika nilikuwa naona wana uwezo mkubwa kuliko over 40 wengi sana. Sidhani kama kuwa na uwezo wa kuongoza na kuelewa mambo yanahusiana na kuendesha nchi kunategemea umri. Viongozi wazee akili zao zote walitumia ujanani na sasa wanaishi kwa mazoea. Ndiyo maana wengi bado wanahisi tupo kwenye ujamaa. Wengi wao huwa Nostalgic, longing for the good old days hata kama kiuhalisia hazikuwa good.
Mnyika mara ngapi kacontradict misimamo yake!?.. hujanotice hes still on the path to!.
Zitto mara ngapi katuonyesha ni muoga wa kutegemea kundi, you think he can be a good PORT!?.
Kua Raisi mzuri hakuhusiani na kupinga kila kitu, kukubali kila kitu, kuwa na mihemko mostly of time!..
Bado hao uliowataja hawajafika uwezo kukabidhiwa over 40 million lives!..
Uongozi na umri ni vitu vinavyoshabihiana ukiacha exceptions zinazoweza tokea in time!.. Halafu 30s to 45s -50s sio uzee huyu ni mtu mzima!..
 
Nitengenezeeni check and balance kwanza :D

Ila Malcom Lumumba ukiwa PM nchi itafaidika sana!.. Mondlane is in you!.
Aaaaah Braza mimi na siasa wapi na wapi aiseee!
Yani sijawahi kutamani kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja: Japo napenda sana kazi yangu ya kuwapika na kuafundisha viongozi na wanasiasa wa baadae, lakini mimi binafsi siasa siyo wito wangu.............!
 
Mkuu muhammad (S .A.W) Hajaunda uislam mkuu rekebisha hapo uislam ulikuwep kabla ya muhammad mkuu

Ha ha wewe jamaa una fantasy. Unasema uislam ulikuwepo kabda ya Muhammad, Historia inakataa kauli yako.

1. Neno Uislam limeanza kutumika baada ya Muhammad Ibn Abdillah kufikisha miaka 40, ndipo introduction ya neno Uislam lilipoanzia. Kabda ya hapo hakukuwa na hilo neno.

2. Hata hao mitume wa nyuma before Muhammad tunaambiwa walikuwa ni waislam lakini hakuna huo ushahidi, ushahidi uliokuwepo ni wa kiimani sio kiuhalisia.

3. Historia inakubali kuwa neno Uislam halijawahi kuwepo Kwenye maandiko yoyote kabda ya Muhammad. Huwa napata wakati mgumu nikimsikia mtu anatoa kauli kama yako.

4.Hapa kwetu Tanzania, miaka 150 iliyopita hakukuwa na uislam wala ukristu. Ni juzi tu wakatoliki wametoka kusheherekea miaka 150 ya Ukatoliki Tz , what does that tell you?

5.Tunataka kusikia nao waislam wakisheherekea miaka 143 ya uwepo wa uislam Tanzania. Atleast hili litawafanya muanze kufikiri na kuacha fantasy.
 
Wewe mkuu unasikitisha sana,

Unapoongelea imani ya mtu lazima uwe na elimu nayo

mimi nimesoma kwenye quran muhammad ni mtume kama mitume mingine mkuu sio mwanzilishi bali ni muendelezaji wa dini kwa generations na yeye ndiyo alikua the last mkuu

Kwa akili yako unajua kila dini huwa inaanzishwa na watu sio hivyo mkuu dini nyingine imekamilika haina shida hata kidogo kuanzia kwenye quran na ndiyo maana wamagharibi wanajaribu kuungamiza uislam lakini wanashindwa unajua kwanini wanataka kuusambaratisha uislam??

You don’t make any sense. Unajua JamiiForums ni Plaform kubwa sana inayosomwa na akili kubwa wengi sana humu. Just be careful Na unachokiandika.
 
Aaaaah Braza mimi na siasa wapi na wapi aiseee!
Yani sijawahi kutamani kuwa kiongozi wa nchi hata siku moja: Japo napenda sana kazi yangu ya kuwapika na kuafundisha viongozi na wanasiasa wa baadae, lakini mimi binafsi siasa siyo wito wangu.............!
Ni kweli me kiuhalisia siwezi hata siku kuwa kiongozi ile kila mtu anitegemee sipendi sana!. Lakini ni mmoja kati ya watu ambao napenda sana kumuweka mtu mwingine juu atumikie mambo yangu (Post turtle):);)
 
mimi nimesoma kwenye quran muhammad ni mtume kama mitume mingine mkuu sio mwanzilishi bali ni muendelezaji wa dini kwa generations na yeye ndiyo alikua the last mkuu.
Kwa akili yako unajua kila dini huwa inaanzishwa na watu sio hivyo mkuu dini nyingine imekamilika haina shida hata kidogo kuanzia kwenye quran na ndiyo maana wamagharibi wanajaribu kuungamiza uislam lakini wanashindwa unajua kwanini wanataka kuusambaratisha uislam??
'SAMAHANI' NAOMBA USOME HAYA MAANDIKO:
Kuna dini ilianzishwa kati kati ya karne ya 19 inaitwa Bahaí ilianzia maeneo ya IRAN na 'Mtume wake anaitwa Baha'u'llah. Kwa makadirio ya sasa ina almost waumini 7 million na ukitaka ijua kwa Tanzania nenda maeneo ya Upanga pale ingawa ukienda hata Kigoma, Mbeya, Iringa, Dodoma hawa jamaa wapo.
Misingi ya huyu Baha'u'llah ni kuwahubiria watu kuwa wammoja waishi kwa kupendana bila jali nchi (nationalism) wala urangi (racism) kumbuka kati ya karne ya 19 hivi vilikuwa vikubwa sana. Imani yao inaendelea sema Mungu ametuma Mtume kuwaokoa kama ilivyoahidiwa na Bwana Yesu au Mtume Muhammad (Mahdi) so automatically huyu baha'u'llah akawa kajitangaza ndio yure tulioahidiwa atakuja (islams/christians), waislam waliposikia hili wakamtimua huyu Nabii.
Toka imeanzishwa hii dini imekabiliana na unyanyaswaji mkubwa sana huku watu wake wengi wakiuliwa kwa kuonekana wanapotosha mafundisho ya Uislam, specially wakionekana ni waasi wa U'shia.
Maana ya kukupa hizi andiko ni kwamba jaribu kuwa na akili ya kuwaza kuna Maisha baada ya dini yako!, usipende limeza sana andiko kwa mtazamo wa dini yako ndio mwisho wa uwezo wa 'Mwenyezi Mungu' duniani. Samahani sana kama nakupa maandiko ovu, lakini nimeona potential kwako.
After all kuna mtu aliwahi sema "Do good deeds and at a certain point we will meet in heaven!"
 
mkuu unaacha watu wafikiri kwa niaba yako?.wabunge wanaotakiwa kumcheki Rais, kupitisha sheria za nchi(kazi muhimu kuliko zote) na kuwa mawaziri wanaanzia miaka 21. Mwanafalsafa Confucius alikuja na idea ya meritocracy. kwamba watu wapewe nafasi za uongozi kulingana na uwezo wao na si umri, kabila, ukoo nk
Kibongo bongo kufanya hivi ni sawa na ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka!
 
Back
Top Bottom