Kunanini mtandao Wa Tigo leo

floow

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
411
852
Siwezi kupiga Sm wala kupokea Sms na hata Tigo Pesa siwezi kutumia ,,nimejalibu kuangalia usajili Wangu hapa,,naambiwa laini Yangu haina usajili

Naombeni mnifahamisha kama na huko kwenu mambo ndio yako hivi

Maana nimeshakua na wasi wasi hapa maana ndio laini yangu ya kuingizia hela
 
Hata mimi imebidi ninadilishe lain. Nilidhani ni huku Kondoa tu kumbe mpaka huko Dar esnsalaam kwa matajiri.
 
Daaaah nimefarijika kuona ni tatizo la wengi
You are weird. Unafarijika kuona wengi wanamatatizo? Inamaana nyumba yako ikiungua utafarijika kiona kijiji kizima nyumba zinaungua. Sasa nani atamsaidia mwenzake?
 
Siwezi kupiga Sm wala kupokea Sms na hata Tigo Pesa siwezi kutumia ,,nimejalibu kuangalia usajili Wangu hapa,,naambiwa laini Yangu haina usajili

Naombeni mnifahamisha kama na huko kwenu mambo ndio yako hivi

Maana nimeshakua na wasi wasi hapa maana ndio laini yangu ya kuingizia hela

na wewe ni muandishi wa habari kama yule mwenzetu aliye vutwa kwa stahili hiyo.maana kuna tisha
 
Mkuu umesajili kwa fingerprint hiyo lain yako, Kama bado nenda kasajili na Kama tatizo likiendelea njoo PM... Au fika tigo shop iliyopo jilan nawe utasaidiwa..
 
Tatizo la tigo hawana ushapu wa teknolojia walionao voda
Kingine mtandao wao huwa kuna maeneo huwa unasumbua mpaka unatamani utupe laini kwa tunaotumia bado 3G
Nahisi huu mtandao unaweza kuwa unafungamano na Vodacom B na hisi hicho kitu kwa usalama zaidi ya private ya mtu
 
Badilisha internet inayotumia kwa leo hata mimi ilikuwa hivyo nimebadilisha sa hivi fresh

Back
Top Bottom