Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Fafanua kidogo FaizaFoxy na hapahapa nikuulize nini maana ya kuhororoja. Kikubwa tubakie kwenye mada kuu.
Demokrasia imeshamiri zaidi Tanzania bara kuliko visiwani, Tanzania bara kuna ustahamilivu wa mawazo toka uongozi wa Kikwete uingie madarakani.
Zanzibar bado hakuna uhuru wa kusema na kila mtu hata akiwa na mawazo mbadala anaogopa kuwa muwazi, hukumbuki kilichomkuta jaji mkuu wa Zanzibar juzi juzi?
Nakumbuka na ndiyo kusema kuna ufisadi vilevile? Au kwa huu ufisadi unaoanikizwa ni porojo za wanasiasa wetu waganga njaa
Kweli kabisa uongozi wa kikwete mzuri. Tena inabidi awachukue mashehe awapeleke Guantanamo kabisa Cuba Maana Wamarekani ndio wana Saikolojia nzuri zaidi ya kupambana na Magaidi. Mungu anamsaidia sana kikwete kwa Busara zake. Wamarekani wamemwambia mashehe walawitiwe ili wasizaliane yeye kasikiliza Viva kikwete
Wakulaumiwa ni Wazanzibari wenyewe waliowaleta huku. Walilazimishwa kuwaleta au ni vikaragosi?
Mbona hakuna mahali wanaposema wanataka wafanye yao? mankachara
Ukifika Zanzibar jaribu kuuliza "hapa pangu ndio nani" halafu chukua maelezo utajua kama ufisadi upo Zenji au hakuna!
Je umewahi kusikia Zanzibar watu wanakula Mboga na kumbikumbi kama mlo kamili wa siku?
/FONT]