Kunani viongozi wengi wa Tanzania kutibiwa India?

wakitei

Member
Jul 18, 2011
77
4
inasikitisha kuona karibu viongozi wote wa serikali ya kikwete kila anayeumwa lazima aende kutibiwa india hivi ni lini tutajikubali wenyewe ? au nazo hospitali zetu za kichina ?
 
kuna mkataba feki hapo umesainiwa kati ya gtz na hao wadosi,,,nchi bana,,
 
inasikitisha kuona karibu viongozi wote wa serikali ya kikwete kila anayeumwa lazima aende kutibiwa india hivi ni lini tutajikubali wenyewe ? au nazo hospitali zetu za kichina ?[/QU Mkuu hospitali zetu ndo kama unavyojua tena...lakini pia ukiachia maendeleo ilopiga india kwenye matuala ya matibabu,bado hudma zao ni nafuu na magonjwa yao ni ya kimaskini maskini kama yetu,kwa kifupi wanatumudu!
 
Ndio matumizi sahihi ya kodi yako hayo!Unataka watibiwe muhimbili muwanukishe vikwapa?Miungu watu hao so hawastahili kufa.
 
Back
Top Bottom