kunani uimbaji huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kunani uimbaji huu

Discussion in 'Entertainment' started by Kiteitei, Jul 15, 2009.

 1. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  nimekuwa nikihudhuria maonesho na matamasha mengi ambayo yanahusisha muziki wa kizazi kipya (bongo flavor), kuna hii aina ya uimbaji ambayo karibuni kila muimbaji anaitumia na sijui kama ndio fasheni yenyewe, au ni kuiga ama ni majonjo tu au ni nini,NI hivi, waimbaji asilimia kubwa, kama sio wote wanapokuwa jukwaani wakiperform mkono mmoja unakuwa umeshika microphone na wa mwingine ( mara nyingi wa kulia) unang'ang'ania kwenye suruali kwa mbele., nisaidieni huwa kuna nini huko? (mic ya pili???)mwanzo nilidhani labda wanashikilia suruali zisidondoke hasa ukizingatia na style zao za uvaaji za kata k, au labda wanajikuna kidizaini lakini nadhani sivyo! binafsi naona kama inakera na inapoteza maadili, sijui mwenzangu...
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,798
  Likes Received: 2,469
  Trophy Points: 280
  Ulishahudhuria perfomance ya Lady Jayde,Mwasiti,maunda Zoro,Nakaaya Sumari, wao wanashika wapi?hapo patamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Blame it on Michael Jackson, the rest are follow fashion fudging fakes.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hata ukimfuata mwimbaji wa bongofleva hawezi kukupa jibu sahihi la kwanini wanafanya vile!.
  Na ieleweke aina hii ya music ni ya kuiga toka nje, si wa asili yetu.
  So we are just COPYCATS, and we do take whatever comes to our way without editions, poor we!
   
 5. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,253
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  mkuu!! duuuu! nisamehe kwa kutoliweka wazi , nimeliona hili kwa wanaume na si kwa kinadada
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu, ukiangalia majority ya hao vijana wanavaa nguo kubwa mno kulingana na miili yao, inabidi hizo suruali wazishikilie zisivuke... na sehemu rahisi kushika ni kwenye flaiz lasivyo ingebidi washike kiunoni na makalioni [na huko nako wanataka mlegezo uonyeshe designed pants

  kaazi kwelikweli........
   
 7. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #7
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mkuu kwani hao uliowataja ni waimbaji wa bongo flava!? naomba msaada wako wa kunielewesha msee.[​IMG]
   
 8. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,798
  Likes Received: 2,469
  Trophy Points: 280
  Nahisi watakuwa wanaimba kwaya!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukiona hivyo ujue kuna mwanamuziki mmoja wa nje walimwona siku moja anaimba huku kashika suruali, pengine kwa bahati mbaya alikuwa na matatizo siku hiyo, wenzetu wakaiga wakidhani ni fasheni.

  Tabu kwelikweli.
   
 10. Mtimti

  Mtimti JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2009
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 912
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 60
  sawasawa mkuu,upo sahihi kabisa
   
Loading...