Kunani Shule za wasichana za Bweni na wanafunzi 'Kupandisha Mashetani'?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,939
517
Kuna matatizo ya kupandisha Mashetani mara kwa mara katika baadhi ya shule za wasichana za bweni/boarding. Matatizo haya yamepelekea baadhi ya shule kuwatumia Mashekh na Wachungaji kuwaombea wanafunzi hawa na inaposhindikana shule hufungwa.

Kuna baadhi ya watu wanahusisha matukio haya na imani za kishirikina wengine husema ni hali ya kawaida kwa wasichana. Sasa mwenye uelewa zaidi na mambo haya atujuze
 
Hiyo ni hali ya kawaida kwa shule za wasichana ndio maana wakuu wa shule wenye busara uhandaa ma concert au disco na kualika shule moja ya jirani(Boyz school) kujumuika nao
 
iyo ni tatzo la kisaikolojia kwa wasichana!!! sisi tunaosoma boys tupu tukisikia tu!! ujue lazma tuitwe mana ndo madaktar wa ilo tatzo!!!
 
Ndio maana Enzi Nzetu ilikuwa ni

Tosa Boys v/s Iringa Girls

Hiyo siku ilikuwa ni Ni Kufanya kila kitu Maana kwa nadra sana na ni adimu.
 
Back
Top Bottom