Kunani pale CO.CC

N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 1,225
jamani tangu juzi nlikuwa najaribu ku-access domain yangu ya .co.cc lakini inafeli kabisa hata nikifungua hiyo main site www.co.cc nayo haifunguki! inakuaje pale au ndo tumeingizwa mjini?
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
ulihost wapi? Kwanini usiwasiliniane nao au uende ukawaone,itakuwa rahisi kujua tatizo.
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 1,225
ulihost wapi? Kwanini usiwasiliniane nao au uende ukawaone,itakuwa rahisi kujua tatizo.
ntawapataje sasa hata cjui wapo nchi gani!!! mimi nlikuwa tuu na hiyo domain lakini nilikuwa nimeiforwad kwenda kwenye website nyingine.
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
nilijua umehost hapa tz,ulilipia kwani au ni free servers?.
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
du pole mkuu,free domains huwa hazitabiriki,hata kuwapata hapo ni shughuli,bora kutafuta nyingine kwenye source ya kueleweka.
 
gkiwango

gkiwango

Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
87
Points
95
gkiwango

gkiwango

Member
Joined Oct 25, 2011
87 95
nyasiro Na mimi nilikuwa sina hata taarifa yani hawa jamaa wameclose bila hata taarifa embu tusubiri tuone kama watarudi, Kweli vya bure ni shida tupu.
 
Last edited by a moderator:
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 1,225
nyasiro Na mimi nilikuwa sina hata taarifa yani hawa jamaa wameclose bila hata taarifa embu tusubiri tuone kama watarudi, Kweli vya bure ni shida tupu.
tena sana. ila poa tu :amen:
 
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Messages
2,453
Points
1,225
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2012
2,453 1,225
Duh... Kwisha habarii.... Kizuri hakidumu...
 
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Messages
2,453
Points
1,225
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2012
2,453 1,225
Nimecheki nakukuta articles nyingi kuhusu kufa kwa kampuni ya co.cc . Na wamefunga huduma pasipo taarifa, japokuwa tayari walisha sitisha kupokea wateja wapya kitambo.

Google tayari wameondoa domain zote za .co.cc kwenye index zao. Hatari hiyo pia inaweza tokea kwa .biz na .info kutokana na kutumika katika illegal acts sana
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,790
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,790 2,000
Nimecheki nakukuta articles nyingi kuhusu kufa kwa kampuni ya co.cc . Na wamefunga huduma pasipo taarifa, japokuwa tayari walisha sitisha kupokea wateja wapya kitambo.

Google tayari wameondoa domain zote za .co.cc kwenye index zao. Hatari hiyo pia inaweza tokea kwa .biz na .info kutokana na kutumika katika illegal acts sana
miaka mingi sasa toka kuwa banned google.

.info rahisi sana ni chini ya 2000 kwa mwaka. Ila nayo ni top domain sidhan kama wataiban
 
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
508
Points
225
Age
28
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
508 225
duh jaman shughul ipo wamesepa bila taarifa
 
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Messages
2,453
Points
1,225
Donn

Donn

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2012
2,453 1,225
miaka mingi sasa toka kuwa banned google.

.info rahisi sana ni chini ya 2000 kwa mwaka. Ila nayo ni top domain sidhan kama wataiban
kutokana na info nilizo soma tatizo lilikuwa spaming na kutumika katika malware, .info ni bei rahisi na inatumika sana katika malware na scam nyingi na hii ndio hatari, .co.cc hawakufungiwa kwa kuwa ni free domain providers, haijalishi kuwa ni tld au la... Kibano kipo pale pale ukizingua
 
Forum statistics

Threads 1,285,664
Members 494,728
Posts 30,869,649
Top