Kunani nyuma ya pazia juisi ya miwa kukosa bahati ya kufanyiwa usindikaji?

Vitoto ni relative term... naweza kuwa kitoto kwa babu yako lakini nikawa mchumba wa mama yako...

Ni ukosefu wa nidhamu kumwita mtu wa umri wa baba yako "kitoto"

Sisi watu wazima hatushangai... tunajua tuliteleza kwenye malezi...

Ndio adhabu ya kuwahi sana kuoa...

Angalia tarehe niliyojiunga JF, nikitokea Jambo Forums, ndio utajua kati ya mimi na wewe ni nani amevamia hii Forum

Bado naendelea kuruhusu matusi, ili uifurahishe nafsi yako...
Babu Asprin ni nini tena?
 
Heri ya mwaka mpya mpenzi...

Mekumisi mpaka naumwa..

Achana na hayo matoto kizazi cha nyoka. Nilikuwa nasaidia malezi kidogo...
Nawe pia Babu.
Heri ya Mwaka Mpya.. Nakumiss zaidi.
Ha ha ha!!! Wanataka kukukosea heshima Babu? Wasamehe.
 
Back
Top Bottom