Kunani Mgao Umeme kila Baada ya Kikwete Kuapishwa?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Ilitokea 2006, wakasema halikuwa kosa lao. Sasa kimetokea tena, visababishi ni vile vile.

Maumivu ya 2006 bado tunayo na gharama bado tunaendelea kulipa (dowans). Sijui safari hii wanataka kutuibiaje. Kwa nini haya matatizo hayakutokea wakati wa kampeni? Kwa nini hawana aibu?
 
ina maana tanesco itakuwa kama 'mufilisi' hivyo kujikwamua bei ya unit moja ya umeme itapanda
 
anataka kuwaonyesha watanzania kwamba ili kukua kwa uchumi ni lazima watekeleze hiyo sera ya kukosa umeme.
 
Back
Top Bottom