Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.

Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Najua tu unataka kuongelea hii picha inayosambaa mitandaoni kama moto.

IMG-20230125-WA0080.jpg

Hizo ni personal issues mkuu na kila familia ina mambo yake. Labda wana marital issues. Au mke yuko safarini...Huwezi jua ya kwenye familia za watu.
 
Najua tu unataka kuongelea hii picha inayosambaa mitandaoni kama moto.

View attachment 2495331

Hizo ni personal issues mkuu na kila familia ina mambo yake. Labda wana marital issues. Au mke yuko safarini...Huwezi jua ya kwenye familia za watu.
Kwa hiyo mwamba ashamtema mkewe aliyemuhudumia kipindi chote cha maswahiba yaliyomkuta. DAH
 
Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe.

Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
Hata kama wewe ndio ungekua mkewe, kwa picha ile ya mahaba aliopiga Airport akiwa na yule mama wa kibelgiji, nina hakika usingeenda kumpokea. Usaliti unaanza katika ngazi ya chini ya familia, mtu kama huyu ukimpa mamlaka hachelewi kutuuza
 
Back
Top Bottom