Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Wanasema ukiona watu wanapostiana postiana ujue in reality hawana furaha. Afu wanga wapo nyie...watu wanakodolea post zenu hadi mnajisikia kuachana achana...
Hata sauti za wadau hunena kuachana tu
 
Ukiona tu jins dem anavyo jibebisha n lazma tu utagundua Kuna mtu alikua anapigwa hela alaf manz anakazwa na mwngne
Nyie hongeni tu sisi wazee wa vitonga kazi yetu ni kusimamia kucha kinyama yani tunawaburuza kma tunawahudumia sisi
Imeisha hiyo haina kukataa
 
Sema neno mkuu!
Mkuu itoshe kusema kuna kuwa kwenye mahusiano na kuna kuachana..kila nyakati ziheshimiwe.halafu Kwani ni lazima kujua fulani na fulani wapo kwenye mahusiano au wameachana?naona ni utoto.

Lakini pia kwa upande wa waliokuwa na mahusiano na wengine,si lazima na sio afya sana kuyaanika mahusiano yenu hadharani..kuna watu wengine huwa hawanaga chakufanya zaidi ya kusubiriana kuona mahusiano ya nani yanavunjika humu ndani ili wapike pilau
 
Ubarikiwe sana mtumishi!
 
Aya ya mwisho
 
Aya ya mwisho
Tujifunze maana sisi wanawake ndo tuko na uphaller mwingi sana wa kuyaanika mahusiano hadharani ili yapigwe na jua😏😏

Wanaume wao habari hawapati wanakuzoom tu 😁kumbe nyuma kuna wanawake wenzio kama mia hivi wanapangwa kama nyimbo za night club🤣🤣

Tujifunzage kunyamaza mpka pale mshindi atakapotangazwa kanisani au msikitini✌🏿
 
Tujifunze maana sisi wanawake ndo tuko na uphaller mwingi sana wa kuyaanika mahusiano hadharani ili yapigwe na jua

Wanaume wao habari hawapati wanakuzoom tu kumbe nyuma kuna wanawake wenzio kama mia hivi wanapangwa kama nyimbo za night club

Tujifunzage kunyamaza mpka pale mshindi atakapotangazwa kanisani au msikitini

Eti ufala
Yapigwe jua
Yanapangwa kama nyimbo za night club
Haki nimecheka

Mimi siku nikitangazwa mshindi ndio nitayaanika mtaani
Sasahivi wacha yakerekete kooni

Ila Kweli privacy ni muhimu .
Kuna watu hawana privacy kabisa,kila kitu kinachofanywa anakianika ,,vingine ni vya wawili tu.. siyo lazima tushirikishwe wote kuona.
 
Back
Top Bottom