Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Matofalii ya kuchoma ni magumu asikwambie mtu. Na yanahitaji rinta ngumu .

Lakin ghorofa zinajengwa kwa matofalii ya block na zege la kutosha

Lakin hata hivyo cement,mabati,milango na vifaa vyote vya ujenzi ni juu kwa bukoba. Cement ni sh 23000 lakin bado watu wanajenga Sana vijijini kuliko huko mtwara na Tanga inapozalishwa
Lakini kwanini nyinyi hamna viwanda? Pambaneni na nyinyi muwe na vyenu ila hiyo price gap siyo kubwa. Ila wamiliki wa hivi viwanda katika ubia sisi sindo asilimia kubwa bwashee? Sisi mbona tumeanza jenga miaka mingi sana. Kuna ex wangu nilionaga nyumbani kwao nilichoka. Watu wameishi mpk uk wana exposure toka 80s huko lakinj kwao nyumba ya tope tena vibanda. Tusisingizie utamaduni kwa kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Aiseee... hivi ndo wanakitembeza hivyo? Kumbe na wao ni kada yenye waathirika wrngi eh? Ila bwana mm nikipata chance nitaishi kisiwani. Yaani nataaka nile mchemsho wa machalari na samaki akiwa bado anapumua mara mchicha wa kienyeji, sijui chinese. Yaan nitalima mbogaaaaa..... nawaoneaga raha sana aisee....

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukiishi visiwani utatongozwa na huo weupe wako wa kichaga Hadi kero.

Wavuvu na ngono ni kitu kimoja.
 
Aiseee... hivi ndo wanakitembeza hivyo? Kumbe na wao ni kada yenye waathirika wrngi eh? Ila bwana mm nikipata chance nitaishi kisiwani. Yaani nataaka nile mchemsho wa machalari na samaki akiwa bado anapumua mara mchicha wa kienyeji, sijui chinese. Yaan nitalima mbogaaaaa..... nawaoneaga raha sana aisee....

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mtoto wa baba njoo nikumeri tukaishi kisiwani.
 
Kilimanjaro mkoa ni Kama wilaya ya muleba tu kwa kagera

Ndo maana nasema kagera imejenngeka zaidi. Wilaya hiz za misenyi, muleba, bukoba vijijini,na karagwe ni sawa na Kilimanjaro tatu
Ukubwa au udogo sio hoja ndugu,tena nyie wenye ukubwa ndo mngetakiwa kutuzidi sisi wadogo maana mna rasilimali kubwa i.e ardhi
Sisi mngetupatia huo mkoa wa kagera ukaja Kilimanjaro hakika ingekuwa NEWYORK
 
Back
Top Bottom