Kunani jimbo la Igalula mkoani Tabora?

CHEF

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
222
122
Twende mbele turudi nyuma, jimbo la igalula mkoani Tabora ni jimbo ambalo limejitenga sana na kasi za maendeleo ya Rais Magufuli ,maendeleo ya Nchi na Dunia kwa ujumla, ni jimbo ambalo linachangamoto nyingi sana, na dalili za kutatua hizo changamoto zimebaki kwenye makaratasi tu ofisini.

Kusema ukweli tu jimbo la Igalula kwa sasa linahitaji kiongozi kijana machachali mwenye maono na anaeweza kuendana na kasi ya maendeleo kutokana na mabadiliko ya dunia hasa katika teknolojia.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, nitaanza uchambuzi wa vijana ambao kama watathubutu kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea Ubunge nahisi kabisa watafaa kuleta mabadiliko chanya na kwa haraka katika jimbo la igalula.

Natoa msisitizo kwa vijana wenye maono warudi IGALULA kulikomboa jimbo

Waruga ruga tunataka maendeleo
 
kweli waruga ruga lakini hapo si mlimkataa mvutakamba nyinyi mkaweka huyo anayeimbwa kwenye band za music
 
Mfutakamba alijiangusha mwenyewe, alikuwa ni mtu mwenye maono lakini spidi yake ilikuwa ndogo sana; tunaelekea 2020 tunataka watu wenye shauku na spidi ya kuleta maendeleo
 
kwani mbunge wa sasa hana maono basi tumpe shishi baby

mkuu ni mawazo ya usingizini na hengover ya jana pale SHISHI FOOD
 
Back
Top Bottom