Kunani Chuo Cha Kampala (KIU) Dar?

Just Distinctions

JF-Expert Member
May 5, 2016
2,690
5,315
Nilipitia kwenye orodha ya Vyuo vilivyosajiliwa kudahili na TCU kutoa mafunzo ya shahada mwaka wa masomo 2018-2019 sikukiona hiki chuo nikahisi labda ni Typing error.

ishu ikaja pale ambapo kuna rafiki yangu alihitaji kuapply kuingia kwenye tovuti yao akakuta hamna sehemu ya kuapply akahisi labda ni mtandao tu

Ile kwenda chuoni kabisa akaambiwa kuwa eti hawajaanza kudahili mda ukifika watatoa taarifa, hivi hii ni kweli?

Mbona TCU wamefungua dirisha mara mbili sasa hivi kuna nini nyuma ya pazia kuhusu hiki chuo tujuzane kwa mnaofahamu
 
kuna kipindi nilisikia kimefungiwa kudahili wanafunzi wapya sijui kama kilifunguliwa
 
Back
Top Bottom