Kunakila dalili ka pambano la coast union na yanga kuvunjika

jamani twite ni mchezaji wa kawaida sana ndiyo maana timu aliyokuwa anaichezea haikuwa na haja nae ni sisi watz tu ndiyo tuna mshobokea..
 
DUH USHABIKI HUU BALAA NDIO MAANA SOKA LETU LADIDIMIA. Ukweli ni kwamba moira ulipangwa kuanza saa 10 unusu. Yanga walishinikiza kumi kamili. Yanga waliingiza timu uwanjani kupasha misuli na ilipofika kumi kasoro tano wakaingiza timu tayari kwa kuanza. Coastal wenyewe waliingiza timu kumi kasoro kumi kwa kupasha misuli. Ilipofika kumi kamili yanga na marefa na watoto wa fifa walijipanga wakapeana mikono huku Coastal wakiendelea na mazoezi. Hapo ndipo kocha dhungu alipofoka wakakoromeana na kocha wa Coastal ambaye wao walikuwa wanasisitiza muda bado. Yanga wakatoa timu na benchi lote wakatimua. Walikaa huko nusu saa hadi walipobembelezwa ndio wakarudi huku wakizomewa na wahasimu wao. Yanga walipigwa bao dakika ya 19 kwa kiki kali ya mita 30. Yanga waliduwazwa na soka la Coastal hadi mapumziko moja 1-0. (Wite alicheza mwanzo mwisho. Ni mwepesi na jamaa walimchana mdomo wa juu akawekwa plasta kibao. Kipindi cha pili dakika ya 18 redcard kwa coastal. Wakiwa pungufu waliendelea kuwawekea ngumu Yanga lakin yanga waliweka pressure na ilipofika dakika ya 35 beki wa Coastal alijifunga na in two minutes Bahanuz akapiga la pili. Habari ndo hii na tathmin ni kwamba Yanga walizidiwa manzo mwisho kwa quality ya mpira ingawaje walipiga kona 11 na besela mara 3.
 
pole sana rage nafikiri umeadisiwa vibaya kuhusu huyu twite na vitu vyake adimu leo
 
sawa shafii dauda yanga walizidiwa mwanzo mwisho wameshinda 2-1. Kona11-2. Besela3-0.,. Kumbuka hu yanga sio ya nchunga
 
Yanga 2-1 Coastal Union. Twite ndani, goli la Coastal Union kalisababisha yeye, kumbe kimeo tu.
 
Back
Top Bottom