Kuna yeyote ana ufahamu na kura za maalbino

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Jamani naweza kuulizia ni wapi limefikia lile zoezi la kuwatambua wauaji wa maalbino na vizee ambalo serikali ya CCM iliona ndio njia pekee ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa mauaji hayo kwa kupitia kisanduku cha kura, kuna mtu yeyote hapa JF ambae ana ufahamu ni wapi umefikia upigaji kura huo na kama kuna matokeo ambayo yaliahidiwa kutolewa hadharani naomba mtuwekee hapa waliofichuliwa kwa kupitia utaratibu huo .

http://www.underthesamesun.com/home.php
 
Back
Top Bottom