Kuna wizi mkubwa Hospitali ya Rufaa KCMC

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
227
383
pic+kcmc.jpg

Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena.

Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha zinazopatikana kutoka kwa wagonjwa wanaotibiwa hospitalini hapo wizi unaowahusisha watumishi ndani ya Hopsital hiyo na wakala wa Fahari CRDB waliopewa jukumu la kukusanya malipo hayo na KCMC.

Unataka kuwafahamu waliopiga pesa hizo kwa majina?,tulia,kaa mkao wa kula narudi muda si mrefu
 
Hii tabia ya kuwapa wezi sifa ya ujanja iangaliwe upya!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena.

Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha zinazopatikana kutoka kwa wagonjwa wanaotibiwa hospitalini hapo wizi unaowahusisha watumishi ndani ya Hopsital hiyo na wakala wa Fahari CRDB waliopewa jukumu la kukusanya malipo hayo na KCMC.

Unataka kuwafahamu waliopiga pesa hizo kwa majina?,tulia,kaa mkao wa kula narudi muda si mrefu
Ungesema hospitali ya wilaya Tukuyu au hata Meta Mbeya ningekuelewa. Huku KLM kilichokuleta ni nini kama sio umbea wa kik€?
 
Hiv hiyo hospital GOT wanashare aslimia ngapi?

Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena.

Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha zinazopatikana kutoka kwa wagonjwa wanaotibiwa hospitalini hapo wizi unaowahusisha watumishi ndani ya Hopsital hiyo na wakala wa Fahari CRDB waliopewa jukumu la kukusanya malipo hayo na KCMC.

Unataka kuwafahamu waliopiga pesa hizo kwa majina?,tulia,kaa mkao wa kula narudi muda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Ummy Mwalimu, fuatilia .ukibaki kushughulikia corona nyuma ya pazia wanaiba fedha za serikali.
 
Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena.

Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha zinazopatikana kutoka kwa wagonjwa wanaotibiwa hospitalini hapo wizi unaowahusisha watumishi ndani ya Hopsital hiyo na wakala wa Fahari CRDB waliopewa jukumu la kukusanya malipo hayo na KCMC.

Unataka kuwafahamu waliopiga pesa hizo kwa majina?,tulia,kaa mkao wa kula narudi muda si mrefu
[/QUO
Kcmc hospital bodi ya wakurugenzi mungu anawaona.bora ifutwe na kuundwa bodi nyingine kwa muundo mpya.muundo uliopo unachangia fedha kuibiwa na hakuna wa kufuatilia
 
Hospitali ina shares za serekali pamoja na msamaria mwema... Japo msamaria mwema ana hisa nyingi zaidi
 
Yaani kahela hako ndio unaleta ukuda na unaa huku jf . Husda tu zinakusumbua.
 
Kuna wajanja wamepiga pesa ya kutosha katika Hospital ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi lakini uongozi wa Hospital hiyo umefanya siri bila kujua katika ulimwengu huu hakuna siri tena.

Wajanja hawa ndani ya miezi miwili tu(desemba 2019 na Januari 2020) wamepiga sh,Milioni 57 kupitia fedha zinazopatikana kutoka kwa wagonjwa wanaotibiwa hospitalini hapo wizi unaowahusisha watumishi ndani ya Hopsital hiyo na wakala wa Fahari CRDB waliopewa jukumu la kukusanya malipo hayo na KCMC.

Unataka kuwafahamu waliopiga pesa hizo kwa majina?,tulia,kaa mkao wa kula narudi muda si mrefu
Tueleze wameiba vipi, majina si unataja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom