Kuna watu wanazaliwa kuwa Wanaharakati, na watabakia hivyo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,792
Kuna watu wanazaliwa kwa ajili hiyo na kamwe hawawezi kuwa Viongozi, wao wamezaliwa kupinga na kufanya harakati ya jambo fulani, hata kama hakuna cha kukifanyia uharakati watakitafuta tu ili waanze uharakati wao, na watu kama hawa kamwe hawawezi kuwa viongozi, kwa maana wamezaliwa kuwa Wanaharakati na watakufa Wanaharakati kama ambavyo wengine wamezaliwa kuwa wezi na hata ufanye nini wataiba tu, ndiyo maana ukienda kutembelea Jela utakuta waliokuwa huko siyo mara ya kwanza wengi wao walikuwepo, wakatolewa wakaingia uraiani wanarudia yale yale wanarudishwa tena Jela na hata kama rafiki yake alichomwa moto mbele yake kwa wizi atalia atamzika lkn kesho ataiba tena, ushaidi unao angalia tu mtaani kwako ndiyo maana kuna wezi tunawaita sugu na inabakia hivyo mpaka mwisho wa maisha yao, hiyo ni genetic au tabia ya kurithi...
 
Haahaaa! kama ambavyo kuna watu wamezaliwa KUPENDA SIFA, VIGELEGELE hata kama sifa zenyewe hastahili anapewa kwa woga, anashindwa kujitahmini. Wapo sana tu.
 
Back
Top Bottom