Kuna watu wanaringa; kijana una umri miaka 36 hujawahi kutumia choo cha shimo kweli?

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wanajf naomba kushare hii story

Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
 
Wanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.
huyo hakuwa amebanwa mkuu
 
Ukusoma bongo auna wazee kijijini manake ago ndio maisha yao
😂😂😂😂kuna watu wanaishi hawaujui ugali,makande na utumbo wala miguu ya kuku.

Hata ningekua mie nisingekitumia choo cha shimo sikipendi
 
Nilisoma bongo mkuu hizi hizi kayumba vyoo vya shimo na zamu ya kuvisafisha ila bado navichukia.

Vyoo vya shimo sio mpaka vijijini mkuu,uku huku mijini watu bado wanavyo na mabafu ya nusu kiuno hasa sehemu za milimani
Ukusoma bongo auna wazee kijijini manake ago ndio maisha yao
 
Wanajf naomba kushare hii story kama Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no...
Unashangaa hicho cha shimo kuna wengine hata sink cha kuchuchumaa hawajawai kukitumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom