ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Wanajf naomba kushare hii story
Jana tulikuwa njiani toka Shinyanga to Dodoma na wadau wangu tukiwa njiani mshkaji tumbo linamsumbua nikapaki gari kwenye kamji kadogo jamaa aende kujisave tumekaa dakika chache karudi kasema big no apawezi eti choo cha shimo hajawahi kutumia toka azaliwe nisogee mpaka nitapopata kituo cha mafuta basi ikawa story mpaka tunafika tunamuuliza imekuwaje kwa umri wake hajawahi kutumia hiyo tradition choo anasema hajawahi sikuamini nikasema ebu ni-share hapa kama kweli kuna watu hawajahi kutumia hii kitu.