Kuna watu wanaitetea serikali ya Magufuli lakini nafsi zinawasuta sana, Watafanyaje? Wanatafuta maisha baada ya anguko

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Nani alishawahi kufikiri kuwa ingefika siku nchini kwetu Mshahara wa Rushwa ukawa ni kupandishwa cheo na kuendelea ‘kuchapa kazi’?

Uzalendo ni kuipenda nchi yako, na hiyo haimaanishi kuipenda serikali. Serikali sio nchi. Serikali ni kikundi cha watu wenye nguvu ya kuwaletea wananchi maendeleo au umasikini, kutegemea na utashi na/au malengo ya kikundi hiko. Na usisahau, viongozi wa kisiasa na nguo za ndani wanapaswa kubadilishwa Mara kwa mara, kwa sababu zinazofanana.

Full of uncertainties. Lakini tusichoke. Yeye, baadae yake imeshapita, sisi baadae zetu ndio sasa!
Tusichoke kusema, tusichoke pia kujipanga!

Kwahiyo mmeshamfahamu ni nani anayetuma watu wake wakatoe rushwa, ila watu wa wengine wakila rushwa anawamaindi?

Kikwete Alitoa Mkopo Kwa Wanafunzi 54,072 Wa Elimu Ya Juu, JPM Ametoa Mkopo Kwa Wanafunzi 30,000! Huyu JPM Ndo Mnamuita Mtetezi Wa WANYONGE?

JK alitoa Bil.456 kwa ajili ya mikopo elimu ya juu 2015/16 na JPM Ametoa bil.147 pekee kwa 2017/18.

Kuna watu wanaitetea serikali ya JPM lakini nafsi zinawasuta sana. Lakini watafanyaje? Wanatafuta maisha baada ya anguko. Kina Muro,Polepole,vijana wa lumumba.

Kujifanya mgonjwa ni ugonjwa, kujifanya mgonjwa wa akili, ni dalili ya ugonjwa wa akili

mr mkiki.
 
Zero brain kazi yake ni kufikiri nani kakosea wapi.Real brain zinajenga SGT kama siyo Nyumba za kuishi watoto wa shule.
 
Na hayo yote wewe ndiyo unaamua?
 
Mbona JK aliitwa dhaifu?
Kwanini hamkumtetea kuwa alikuwa mzalendo?
Kibaya zaidi mliona wanafunzi wakiandamana kipindi kile lakini hamkuwaambia ukweli.
Issue sio namba za noti au idadi ya wanafunzi, issue ni kina nani wanastahili kupewa mikopo kwa vigezo gani.
 
Usisahau nyumba inaweza ikawa ya tingatinga
 
Mbona JK aliitwa dhaifu?
Kwanini hamkumtetea kuwa alikuwa mzalendo?
Kibaya zaidi mliona wanafunzi wakiandamana kipindi kile lakini hamkuwaambia ukweli.
Issue sio namba za noti au idadi ya wanafunzi, issue ni kina nani wanastahili kupewa mikopo kwa vigezo gani.
Ungeweka takwimu sahihi hapa nani wakupewa naninani hastahili kupewa ili uhalalishe huu utendaji wa mtukufu wako unayemtukuza lkn hizi hapa ni porojo tu halafu mnataka kutuaminisha kuwa jk hakuwa makini kiasi hicho hivi hiki chama Nana kakurogeni
 
ungeweka takwimu sahihi hapa nani wakupewa naninani hastahili kupewa ili uhalalishe huu utendaji wa mtukufu wako unayemtukuza lkn hizi hapa ni porojo tu halafu mnataka kutuaminisha kuwa jk hakuwa makini kiasi hicho hivi hiki chama Nana kakurogeni
JK alikuwa makini sana, ndio maana kila mtu alipata mkopo.
Please usinichonganishe na mamlaka zilizopita.
Kuhusu kumtukuza Kiongozi hayo ni maneno yenu, anayetukuzwa ni Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.
Kuhusu chama, sijihusishi na chama chochote cha siasa.
Siku zote nadili na logics tu.
Kuhusu takwimu, mwambie mleta mada akuambie hizo takwimu kazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom