Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

Mie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari.
Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike.
Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaah
 
Back
Top Bottom