Kuna watu wanaboa sana humu ndani

ericjames574

Member
Aug 30, 2015
44
30
Kwa kweli kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya;

1. Ukitafutwa pm hujibu meseji.
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu mwingine.
3. Ukipokea simu unajifanya hulijui hili jukwaa.
4. Kuna wengine hasa wanawake hawatafuti wapenzi wapo tu kwa ajili ya kuwakatisha watu tamaa na kuwapiga vizinga.
 
kwa kweli Kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya
1. Ukitafutwa pm hujibu meseji
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu mwingine
3.ukipokea cm unajifanya hulijui hili jukwaa
4. Kuna wengine hasa wanawake hawatafuti wapenzi wapo tu kwa ajili ya kuwakatisha watu tamaa na kuwapiga vizinga

Heb tafuta hela wewe. Alaa !!
 
Hiyo namba 1 naona ndo hasa imekufanya ufungue Uzi, pole sana kwa yaliyokukuta,
Fanya mambo mengine ya msingi achana na kusubiri ujibiwe PM zako.
 
Back
Top Bottom