Kuna watu wana roho ngumu, amepataje usingizi huyu jamaa hapa!

Hajalala huyo we hajipendi, jiwe anamcheck tu kwa jicho lake la sikioni😂😂😂.
 
Atakuwa jana yake alikesha! kuwa na jiwe kwenye kikao si mchezo atakuwa alifanya mazoezi usiku kucha.
 
hiyoo siku jamaa alikuwa anasinzia sana inaelekea alikuwa na mchoko. jiwe linakungia ata 20 kwa siku
 


Tamko la kuipiga marufuku hii picha toka kwa mzee wa kaunda suti na vibendera linakuja soon.
 
Back
Top Bottom